Monday, July 22, 2013

TUANZA JUMATATU HII KWA KUSIKILIZA NYIMBO HIZI MBILI AMBAZO ZINA UJUMBE UNAFANANA KIDOGO!!!!



Au tuendelee kusikiliza na huu ambao unaitwa HUJAREJEA BY CHIEF BEKA


JUMATATU NJEMA NA KILA LA KHERI..........NA KAPULYA LIKIZO IMEISHA NA SASA MZIGO KAMA KAWAIDA:-(

4 comments:

  1. Hai tuimbe pamoja,hai,hai,hai hai hai!!

    ReplyDelete
  2. Naona mtoto kaamua kumjibu Baba MN hajarudi haya tena majanga Da yasinta cjui Baba kaisikia hii❓

    ReplyDelete
  3. KAKA RAY! Ahsante pamoja daima?

    Nancy! Umegundua eewh, mambo haya bwana natumaini baba ujumbe umemfikia.

    ReplyDelete
  4. Ujumbe tusisahau familia zetu na mujini kuna majini wengi! By Salumu.

    ReplyDelete