Saturday, July 20, 2013

SALAMU ZA JUMAMOSI HII KUTOKA KWA NANGONYANI!!!!!

Acheni niwape hai, sina shaka mpo hai, nami pia nipo hai, ndiyo maana nawapeni hai, kwa kuwa sote tupo hai tupeane hai, hai, hai hadi Wilayani. Ilikwa hivi tu kwa JUMAMOSI HII.MNAPENDWA WOTE JUMAMOSI NJEMA.

7 comments:

  1. Hai nasi tupo hai,asante kwa tupa hai na tuombe Mungu tuzidi kuwa hai ili tuendelee kupeana hai,hai,hai, kwenu nyote hadi wilayani Hai.

    ReplyDelete
  2. Kaka Ray kwa kweli ni jambo la kunshukuru muumba kwa kutupa uhai, ahsante.

    ReplyDelete
  3. HAi dada wa mimi nasi tunashukuru..wape Hi watu yangu hapo nyumbani.

    ReplyDelete
  4. Kachiki! Usengwili na veve. Salamu zimefika salimia hapo nyumbani nawe.

    ReplyDelete
  5. Tunashukuru nawe tunakupa hao,

    ReplyDelete
  6. Twashukuru mpendwa, naona ubongo-fleva unakunyemelea au?

    ReplyDelete
  7. Nancy! Ahsante!
    emu-three! Ahsante..HAPANA mimi ubongo wa fleva sitaweza.:-)

    ReplyDelete