Nimeipenda sana blogu yako, nilikuwa tu napitapita kwenye mitaa ya Songea ,Mbinga nikawa nimekutana na blogu yako nimesimama kwa muda sana kupepesa, kama Vile nipo njia panda ya kuelekea peramiho nikisubiri usafiri wa kwenda Mbinga maana ndo kwetu, umenitoa machozi nilipokuwa nasikiliza nyimbo za mganda,
Nilipenda sana kama ningeona ipo kwenye shooting, YASINTA NGONYANI umenikumbusha mbali sana, nina miaka mingi sijawai kuona mganda life,tangu 1994 wakati namaliza masomo ya Secondary, Mbinga Mkinga Secondary school, niko mbali na RUVUMA sasa ni miaka mingi nimefurahi tena sana,kusikia nyimbo za Mganda ,nilikuwa mpenzi mkubwa wa mganda na nimewai kucheza Mungu akubariki kwa kazi nzuri,
Nimeipenda sana blogu yako, nilikuwa tu napitapita kwenye mitaa ya Songea ,Mbinga nikawa nimekutana na blogu yako nimesimama kwa muda sana kupepesa, kama
ReplyDeleteVile nipo njia panda ya kuelekea peramiho nikisubiri usafiri wa kwenda Mbinga maana ndo kwetu, umenitoa machozi nilipokuwa nasikiliza nyimbo za mganda,
Nilipenda sana kama ningeona ipo kwenye shooting, YASINTA NGONYANI umenikumbusha mbali sana, nina miaka mingi sijawai kuona mganda life,tangu 1994 wakati namaliza masomo ya
Secondary, Mbinga Mkinga Secondary school, niko mbali na RUVUMA sasa ni miaka mingi nimefurahi tena sana,kusikia nyimbo za Mganda ,nilikuwa mpenzi mkubwa wa mganda na nimewai kucheza Mungu akubariki kwa kazi nzuri,
nyumbani ni nyumbani leo nami nimefurahu sana kusikia mganda wa kimkasa
ReplyDelete