picha ya pamoja baada ya kupata kipaimara Da ´Camilla hapo katikatika na nywele nyeusi
nipo na rafiki
watu walivyofurika
baadhi ya wageni waliokujha kumpongeza Camilla
baadhi ya msosi
baada ya misa , sasa hapa nu nyumbani
keki ya karoti
kufungua zawadi
Jumapili hii imekuwa ndefu na nyenya baraka nyingi sana katika nyumba yetu ...TUNAMSHUKURU MUNGU KWA SIKU HII...nimeona niwe pamoja nanyi katika siku hii njema, AHSANTE MUNGU....NA HONGERA SANA BINTI CAMILLA
Hongera sana da'Camilla..MUNGU akulinde na ukue mwili na roho katika Imani....pia Hongereni wazazi kwa malezi na kumuongoza binti katika IMANI.
ReplyDeleteRachel..Kachiki wangu ..Da`Camilla anashukuru sana na anasema AHASANTE KWA BARAKA
ReplyDeleteHii ni hatua kubwa sana katika imani, hongereni sana wazazi kwa kumlea Camilla katika misingi ya kumjua Mungu..
ReplyDeleteHalafu Yasinta una kabinti kazuri..!!
Hongera sana Camilla!!
Hongera sana Camilla, na wazazi pia. Mungu azidi kukusaidia kumjua yeye zaidi na zaidi. Da Yasinta hujatuwekea picha ulizopiga na Camilla au ulivyoonekana wewe siku hiyo. Tunahamu sana kukuona pia.
ReplyDeleteDa' Mija! Ahsante ndugu yangu.
ReplyDeleteUsiye na jina! Kwanza ahsante. Pili naomba samahani pilika zilinizidia nikadahau kupiga picha naye . Ila ntapiha naye tu untaniona. Ahsante kunikumbusha
Mh jamani! Hukupiga naye picha hata moja? Hukumtendea haki! Haya tunasubiria.
ReplyDeleteHongera Camilla na Hongereni wazazi wa Camilla kwa malezi yaliyobora. Mubarikiwe sana
ReplyDeleteHongera sana mwanangu Camilla, mwenyezi mungu akuajalie afya njema na uwajali wazazi pia kama ilivyo desturi yako.
ReplyDeleteHaya Da Yasinta nazisubiria hizo picha utkazopiga naye, sijui leo? au utarewind tena akivaa gauni yake nyeupe itapendeza sana sana.
ReplyDeleteUsiye na jina..kuwa na subira
ReplyDeleteEmu3 ahsante ndugu wangu salamu zimefika
Markus! Usengwili sana na chilawu mewawa.
Usiye na jina kuwa na subira ntamwomba binti akokubali utaona. Maans huwa hapendi lupigwa picha. Yaani nilipitiwa mno....
mpe hongera sanii mtoto . na akuwe kwa imani hiyohiyo ya kumtumainia mungu, na bwana yesu kama mwakozi wetu /wake . naikubuka siku hii! we achatu kaka s
ReplyDeleteKaka Sam...usikonde salam za hongera zimepokelewa..ilikuwsje siku yako kana hii?
ReplyDeleteHongera sana Camilla.Ulipendeza pia.
ReplyDeleteMwambie Dada Camilla kwa niaba ya dada aliyecomment humu naomba avae ileile gauni yake na viatu vilevile,nywele style ilelile ili mpige naye picha, hata kama hapendi najua atakubali ombi toka humu kwenye blog ya mama yake. Mwambie hayuko peke yake mie mwenyewe sipendi kupigwa picha na hata mwanangu ndio kabisaaaaaa! Sijui kwa nini inatokea hivyo mtu hupendi kupigwa picha! Mie sipendi napiga picha mara chache chache mno. Msalimu Camilla mwambie amekuwa dada na anazidi kupendeza. Kama anajua kiswahili asome mwenyewe hapa.
ReplyDeleteDu kumbe mwana amekua! Ajue kupata kipaimara ni kuwa imara katika imani, nidhamu, kujitambua na kutambua mabadiliko katika majukumu hata kuwajibika.
ReplyDeleteHongera mwana na wavyele.
Edna! Karibu Tena Camilla anasema ahsante mama mdogo...
ReplyDeleteUsiye na jina ingekuwa vizuri kama ungesema jina lako Camilla anasema..ila usikonde iko siko utaona hizo picha Mungu akipenda.
Mwal. Mhango..Yaani siku zinakimbia kama nini karibuni tu tutakuwa bibi na babu..LOL Ahsante na chilawu mewawa..
Nachukua nafasi hii na kuwashukuruni wote..Si kwamba nafunga mada hapana karibu kuendelea.
Hongera Camilla!
ReplyDeleteasante kwapicha nzuri za baby mwambie hongera sana
ReplyDeleteHata kama nimechelewa, wacha niseme tu. Shangazi yangu Camila pokea pongezi nyingi kwa kupata Sakramenti hii ya kipaimara. Ni hatua ya msingi katika ukuaji wa maisha ya kiroho. Roho Mtakatifu uliyempokea akujalie kuwa imara katika kumjua, kumpenda, kumtumikia na kumwamini Mungu. HONGERA SANA.
ReplyDeleteTUONGEZEE PICHA ZA CAMILLA KAMA ZIPO NA ZINGINE.
ReplyDeleteDa´Penina ahsante Hongera zimepokelewa.
ReplyDeleteMatha.. Ahsante amezipokea hongera.
Kwa niaba ya Camilla Mjomba Mhagama..Ahsante nitatekeleza hayo.
Usiye na jina! :-)
Yasinta naona mbio zangu za sakafuni za kutaka picha picha sasa zinaishia ukingoni. Mana kila wakati narudi humu kucheck picha za kama umeweka zaidi nakuta hakuna! Niwie radhi Yasinta napenda sana kutazama picha. Ubarikiwe.
ReplyDeletejamani nimepitwa na sherehe ya Camilla, kulala sana nako i hasara hadi nimechelewa kumpongeza........... Hongera sana dada Camilla, unakua kiroho zaidi Mungu aendelee kukulinda na mapaji yake uliyoyapokea siku hiyo. Amen
ReplyDeleteUsiye na jina ! :-D
ReplyDeleteKwa niaba ya Camilla-: Mama mdogo Ester wala hujachelewa. Halafu nakukumbuka sana. Ahsante sana nitatekeleza maagizo