Nachukua nafasi hii na kuwashukuruni wote mliohudhuria siku hii ya kipaimara cha binti yetu iwapo kiukaribu au kwa umbali..Mwenyezi Mungu awazidishie Upendo. Kwa vile Mwanakipaimara anajua kiswahili amesoma maoni ameniagiza kusema AHSANTE SANA kwa kuwa naye kwa siku hii maarufu katika hatua za maisha...AHSANTENI..NA MUWE NA JUMANNE NJEMA..KAPULYA NA FAMILIA.
Tumeona kwenye picha ambao tupo mbali, tunamshukuru Mungu kwa kuona umuhimu wa kushukuru jamii iliyoshiriki nawe, iwe mbali au karibu. Mungu awabariki.
ReplyDeleteUsiye na jina ina naamini una jina...nashukuru kama umeona kwenye picha na pia kuonyesha upendo na ushirikiano . Nasema tena AHSANTE SANA- NA MUNGU AKUBARIKI PIA PAMOJA NA WENGINE WOTE WALIOPITA HAPA.
ReplyDelete