Sunday, April 21, 2013

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE WATAOPITA HAPA...MAISHA NA MAFANIKIO

IMANI YA BWANA IWE NANYI...NA UPENDO PIA BARAKA ZITAWALE NYUMBANI MWENU.

2 comments:

  1. NZURI HII DADA.....MUNGU NI KILA KWETU UKIMTEGEMEA MZIMA MZIMA ........I WILL DELIGHT IN HIM HE IS MY GREATER HOPE....NAKUPENDAGA BURE MY DADA

    ReplyDelete
  2. Sara! Kwanza karibu sana mdogo wangu hapa maisha na mafanikio..Na halafu ahsante sana kwa maoni ...Mungu ndiye muweza..na ni wajibu wetu kumtegemea na kumshukuru kwa kila siku atupayo

    ReplyDelete