Juzi nilikuwa naangalia habari ya wanyama pori ambayo ilikuwa kuhusu simba waupe huko Afrika ya kusini,,,Mara nikakumbuka ya kwamba
Simba waupe wanapatikana pia katika pori la wanyama la Liparamba
wilayani Mbinga mkoani Ruvuma. Ina semekana Wanyama katika pori hii kila mwaka wanahamia
kutoka nchini Msumbiji kuingia Tanzania. JE WEWE MWENZANGU UMEWAHI KUONA SIMBA MWEUPE???
Hongera sana na asante kwa taarifa hiyo Yasinta!!!
ReplyDeleteKaka Ray! Ahsante kwa pongezi pia kupitahapa
ReplyDeleteNi albino hawa...
ReplyDeleteYasinta unasahau kuwa songea ni kusini mwa tanzania ,hivyo nchi jirani ni msubiji na Afrika ya kusini na ndiko chimbuko la wangoni au tusema simba hao weupe wana wafuata ndugu zao wangoni.sasa ni yupi mwenye thamani kati ya huyu mweupe na nasimba wakawaida.kaka s
ReplyDeleteMija...umenichekesha kweli du hadi wanyama?
ReplyDeleteKaka Sam! Ahsa kwa kunikumbusha..
Swali nzuri nani ngoja nifanye utafiti yupi ana thamani.
hata mimi nimeshawahi kuwaona simba weupe. wako mjini dar es salaam. wako kariakoo. hawaungurumi wala hawaumi/ hawajeruhi. hawatishi.
ReplyDeleteKaka john ulikuws wapi yaani nimecheka måska basi.
ReplyDeleteNadhani ww ni kaka mkuu .. kweli wspo dar?
The information were very helpful for me, I've bookmarked this post, Please share more information about this
ReplyDeleteThanks
Habari!
ReplyDeleteHiyo ni habari mpya kwangu.
Pamoja na kupita mbuga ya wanayama ya Mikumi mara kwa mara sijawahi kuona simba mweupe.
Kama ni kweli wanakuja Tanzania kutoka Msumbiji ni Habari njema na ukizingatia sasa hivi utalii nyanda za juu kusini unapewa kipaumbele na Nchi
Ni matarajio yangu kuwa fursa hii itakuwa moja ya chanzo cha ajira kwa wanambinga
Kila la kheri