Leo ni tarehe/siku ambayo familia ya Mzee Ngonyani ilikuwa kumpati binti huyo ambaye alizaliwa siku hii ya leo. Na leo ameongoza mwaka tena na kuzidi kuzeeka. Lakini hata havyo anapenda kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki kwa siku hii ili tumsaidie kusherekea. Na wote manakaribishwa..sana. NAWATAKIENI SIKU NA WAKATI MWEMA. WOTE MNAPENDWA SANA ...KAPULYA
Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika muungano na Bwana, kwa maana hilo ni jambo la uadilifu: “Mheshimu baba yako na mama yako”; ambayo ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi: “Ili mambo yakuendee vema nawe ukae muda mrefu duniani.” Nanyi, akina baba, msiwe mkiwakasirisha watoto wenu,bali endeleeni kuwalea+ katika nidhamu na mwongozo wa akilini wa Yehova_Waefeso 6:1-4
ReplyDeleteHongera sana "Kadala" MUNGU azidi kukubariki na kukulinda kila iitwapo leo.....uwe na wakati mwema!!
ReplyDeleteHongera dada Yasinta, Mungu akuongezee miaka tele na yenye furaha..
ReplyDeleteAmen..
Happy birthday to you Dada Yasinta.
ReplyDeleteMungu azidi kukupa afya njema na hekima katika kumjua yeye.
Baada ya kuangalia hiyo video yako ya leo, nimeipenda sana ni nzuri mno. Ombi, je unaweza kutuwekea ya matukio ya songea na siku ya leo ilivyokuwa kwako? Natumaini nasi tulio mbali na Tz tutakuwa tumefika kwa njia ya kukuona katika video. Huu nao ni ubunifu wa aina yake na huo wimbo umenogesha sana, kwani nimerudia kuangalia mara tatu. Haya uwe na wakati mzuri na familia yako.
ReplyDeletehongera kwa kuchana kalenda. wewe na familia yako muwe na wakati mujarabu mkirafakuri yaliyopita na yajayo.
ReplyDeleteHongera,da Yasinta . kaka s.
ReplyDeleteHONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA PEKEE....DADA YASINTA.
ReplyDeletehongera kwa kuzidi kuuendea uzee na hapo ndipo busara zinazidi kuongezeka si uzeetu ubarikiwe sana
ReplyDeletehongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa rafiki yangu wa hiari Mungu akutimizie yale yote uliyoyapanga mwaka huu, akujalie afya njema, mafanikio na baraka tele!
ReplyDeleteHappy birthday Yasinta!
Ubarikiwe kwa mengi mema. Mungu akulinde zaidi na zaidi pamoja na familia
ReplyDeleteHongera sana Kapulya ... ingawa salamu yangu imechelewa lakini nakutakia afya njema, mafanikio na maisha marefu ili mchango wako kwa jamii ya wanadamu upate kuendelea.
ReplyDeleteAsante sana.
Ahsanteni sana wote kwa kuwa nami katika siku hii maalumu kwangu maana ilikuwa ndiyo siku ya kwanza kuingia katika dunia hii. Na leo nipo nanyi na nimetimiza miaka ...au niseme makumi 4..naelekea kweli uzeeni ila napenda kwelikweli umri huu:-)
ReplyDeletetunakutakia happy birth njema.
ReplyDelete