Nimetulia nakula embe karibuni si mwaona zilivyo nyingi:-)
Blog ya Maisha na Mafanikio inapenda kuawataarifu kuwa sasa itakuwa nanyi hewani tena kama kawaida. Napenda kuwatakeni samahani kwa usumbufu wa kutopata matukio kama ilivyozoeleka. Pia nachukua nafasi hii kuwa-SHUKURUNI KWA MAOMBI YENU kwa safari yangu na familia yangu. Tumesafiri salama na hii nina imani ni kutokana na maombi yenu. AHSANTENI SANA PAMOJA DAIMA....KAPULYA...
Nafurahi kusikia safari ilikuwa njema na mmefika salama....nafurahi kusoma kuwa matukio yetu sasa yatakuwa hewani tena........Amen
ReplyDeletewelcome back mwadada,i hope una matukio ya kutosha toka huko
ReplyDeleteEster! Ahsante kwa yote...mengi yatakuja usikonde
ReplyDeleteKaka isaack ..Ahsante sana na karibu tumalizie mapochopocho pamoja:-) kuhusu matukia usikonde.
duh...hayo maembe jamani.....haya naubiri kwa hammu dada
ReplyDeleteWawoooo "Kadala" umeshaanza na picha zako za kichokozi mwehh..Hata unihurumiiii Kachiki?....
ReplyDeleteTunamshukuru sana MUNGU kwa kuwalinda na Kurudi salama....
ukishapumzika nitumie sms ukiwa nyumbani nikupigie..kuanzia J'4-alhamisi nitakuwana Nafasi!!!!
KARIBU TENA KADALA!!!!
Umependezejeee dada mkuu.. karibu tena tulikumiss..
ReplyDeleteAKIKA UKIWA NA HIMANI AKUNA KITU KITAKACHO KUFUMBA MBONI ZA MACHO YKO KILA KTU KITAKUWA WAZ NA SALAMA KWAKO TRUST LORD ONLY
ReplyDeletevipi kwani umisharudi sweden?mbona hujaaga?haya pamoja nahayo pole na safari tuko pamoja tulikumiso sana wasalimie wote huko
ReplyDeleteilatu hukunipa salamu za MILLEN AU HUKUUFIKISHA UJUMBE WANGU?msalimie vilevile ahsante sana
ReplyDeleteEmbe ni tamu lakini mlaji akizidisha huzua mashaka!
ReplyDelete