Wednesday, January 2, 2013

BADO NIPO SONGEA NA NIPO SALAMA..KHERI YA MWAKA MPYA 20113!!!!

Nataka kuwafahamisha ya kwamba nilisafiri salama na nipo salama. mAJUKUMU YALIZIDI...Na pia NAWATAKIENI WOTE KHERI SANA KWA MWAKA MPYA 2013...BADO NIPO SONGEA..TUTAONANA MUDA SI MREFU....KAPULYA

8 comments:

  1. Heri ya mwaka mpya 2013 nawe. Tunashukuru sana dada Yasinta. kusikia uko salama na unaendelea kujichana madikodiko ya nyumbani Tz. Tunaomba utuletee nasisi hivyo vyakula. Mbona utanikuta airport nasubiri kukupokea siku utakayorudi, ili nichukue vyakula vyangu. Furahia likizo yako TZ.

    ReplyDelete
  2. Heri ya mwaka mpya 2013 nawe. Tunashukuru sana dada Yasinta. kusikia uko salama na unaendelea kujichana madikodiko ya nyumbani Tz. Tunaomba utuletee nasisi hivyo vyakula. Mbona utanikuta airport nasubiri kukupokea siku utakayorudi, ili nichukue vyakula vyangu. Furahia likizo yako TZ.

    ReplyDelete
  3. Na weye pia, mpendwa hebu fanya tafiti za mila na desturi za huko, za ndoa na unyago,...ni wazo tu mpendwa

    ReplyDelete
  4. Usiye na jina hakuna shida ...sasa mbona sijakuona. kwa hiyo itabidi uje hapa nyumbani uchukue haya mapochopocho..:-)

    emu3:- hii itabidi nifanye ila nitafanya safari nyingine kwani inahitaji muda...ahsante kwa wazo

    Kaka Ray:- Ahsante nawe kwa kuÄita hapa.

    ReplyDelete
  5. ok nami nakutakia mwaka mpya mwema ndugu yangu,vp songea kwema

    ReplyDelete
  6. Dear Kapulya,
    Happy New Year 2013! I wish a very prosperous year full of grace, peace and great success.


    ReplyDelete
  7. Ahsante baby kumbe upo Bongo? karibu sana nyumbani hope magimbi na matembele umeyala kwa kujinafasi!!
    Nakutakia heri ya mwaka mpya pia.

    ReplyDelete