Hali ya hewa ndivyo ilivyo leo DAKIKI/DAKIKA MBILI ZILIZOPITA...yaani mtu unaonekana mnene kama vile tembo kwa ajili ya kuvaa mingua mingi ili usisikie baridi. Nina furaha kuachana na hali hii kwa muda .. nisemapo hivi ni kwamba BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIA INATAKA KUSEMA HAITAKUWA HEWANI KWA MUDA KUTOKANA NA MAMA WA MAISHA NA MAFANIKIO ATAKUWA SAFARINI. Nachukua nafasi hii kuwatakieni wote CHRTITMAS NJEMA NA PIA MWAKA MPYA NA PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA HAPO MWAKANI 2013.
Labda tu Remmy Ongala afichue wapi nakwenda..... na kipande hiki cha mziki..
Narudi nyumbani eeeeh nakwenda kula likolo la nanyungu....wangoni wote myumwike..nyumbaniiiiiii
KILA LA HERI DADA, TUTAKUMISS KWELI
ReplyDeleteEster usiwe na wasiwasi nakuja huko uliko...nami nitawamiss munooooooooooo!!
ReplyDeleteUsisahau kutuletea senene na mihogo.
ReplyDeleteKaribu dada twakukaribisha lkn hilo dakiki(dakika) umeliandika kingoni kabisa ha ha ha nimefurahi sana kweli jasiri haachi asili!
ReplyDeleteHaya safirini salama.kulia sikukuu ya noweli nyumbani ni muhimu. hapa unikumbusha misa zao zinavyokuwa ndefu nyumbani,unakuta wakati wa sikukuu inaweza kufika hata ma saa 2-3! lakini inapendeza kila mtu kijijini anakuwa na furaha,mara ya mwisho kula krisimasi nyumbani 2006 kidogo nifunge mtaa! kijijini pombe za kienyeji ni bei poa sana,niliweka namuziki wa kukodi we acha tu ,siku hiyo nilijisikia raha sana,kidogo nipate wazo la kugomea ubunge!??.kaka s
ReplyDeleteDada Yasii kaolewa kurudi nyumbani kuja kutembea!!
ReplyDeleteNakutakia msafara mwema. Wasalimie wazazi ndugu na jamaa wambie mwe! huko ulaya barafu mwe!
ReplyDeletenakutakia safari njema wasalimie wote huko na ifurahie likizo yako na sikukuu zote za xmass na mwaka mpya usisahau kupitia likonde na wape Hi wote; inafaa kidogo kuikimbia baridi
ReplyDeletesafari njema na karibu bongo.
ReplyDelete
ReplyDeleteAiyaya kuolewa utarudi nyumbani kutembea x2, kwa heri baba yangu kuonana majaliwa
Aiyaya kuolewa utarudi nyumbani kutembea,x2
kwa heri ndugu zangu kuonana majaliwa
Aiyaya kuolewa utarudi nyumbani kutembea x2 da Yasinta!
Haya na tunakukaribuisha nyumbani kutembea kwa mwezi mmoja tu usizidishe na ukiisha urudi huko huko kwa mume wako.
Jamani Dada Yasinta si uniachie hizo nguo zako za baridi kuanzia kichwani kofia mpaka viatu, mana kweli ni baridi hasa mwaka huu!Si utaviweka tu ndani au utasafiri nazo zote? aaahh
SAFARI NJEMA NA MUNGU AKUTANGULIE NA FAMILIA YAKO.
DA YASINTA USITUKIMBIE BANA,UNAWEZA KUTU-UPDATE HATA UKIWA HUKO lunyungu,usisahau picha za kutosha huko njiani mpaka kijijini na msosi angalau tule kwa macho.wasalimie sana
ReplyDeletenashukuru safari njema----
ReplyDeleteNenda nenda salama eeehh nakuombe salamaaaaaaa!!!!!!MUNGU awatangulie na wasilimie wooote!!!!
ReplyDeleteduuhh nakuonea Wivu Xmas na Mwaka mpya huu hatuta wasiliana tena?...........haya nitazima kasimu kangu mwehhh KADALA!!
karibu sana dada Yasinta lakini joto la hapa dar ni balaaaaa,safari njema ufike salama sio vibaya ukawa unatuapdate ukishafika hapa nyumbani karibu sana
ReplyDeleteKaribu sana. Itakuwa furaha kukuona nyumbani. Kwa hali hiyo ya baridi huko, naamini uta-apreciate joto la huku. Karibu sana.
ReplyDeleteAah Dada witila mbepu penapo maana mwe muvii ku North hamsphere nde wakati waki weniu, haya bwana safari yivyaa ya salama katigegelai mangatungu ne mbaka mwezi wa march - Nabambu Mbawala
ReplyDeleteWOW just what I was looking for. Came here by searching for weightloss clinic
ReplyDeleteMy web page > la weight loss
Safari njema Dada Yangu, ukiwa Bongo nitafute na namba hii: 0767-191275. Karibu sana TZ.
ReplyDeleteKaribu nyumbani. karibu sana
ReplyDeleteMlongo kila la heri, husisahau kunibebea likolo la nanyungu, na mangatungu. pitiku, na mabuni, mapotopoto......
ReplyDeleteDada Yasinta anawasalimia sana na kuwamiss sana.......mliotaka mabuni anasema msikonde mtapata
ReplyDeleteHalafu kasema atawajuza karibuni yanayojiri,yupo poa sana, msichoke tu kudhuru humu ndani
ReplyDeleteHey! This post couldn't be written any better! Reading this post reminds me of my good old room mate! He always kept talking about this. I will forward this write-up to him. Fairly certain he will have a good read. Thanks for sharing!
ReplyDeleteAlso visit my web blog ; Home Design
ahsanteni wote na samahani kwa kutowatafuteni majukumu yalizidi kuliko nilivyotumaini...Pamoja daima.
ReplyDeleteHi! I just wish to offer you a huge thumbs up for the excellent info you have got right here on this post. I will be coming back to your blog for more soon.