Friday, November 9, 2012

UJUMBE WA IJUMAA YA LEO NI:-.......

Riziki ni mdudu popote hutua!
MUWE NA IJUMAA NJEMA NA MWISHO WA JUMA MWEMA....KAPULYA!!!

3 comments:

  1. asante kwa ujumbe mtamu dada...ijumaa njema pia

    ReplyDelete
  2. Da´mdogo Ester! Ahsante kwa kuupenda ujumbe...uwe salama:-)

    ReplyDelete
  3. Riziki ya mbuzi kwa urefu wa kamba yake na mbwa katika miguu yake.

    ReplyDelete