Wednesday, November 7, 2012

NIPO INGAWA SIPO ILA NIPO!!!!

Kutokana na taarifa niliyowapa hapo jumapili basi ndiyo maana nitakuwa kidogo sionekani sana hapa ila nipo na pia napenda kutoa SHUKRANI ZA DHATI kwa wale wote waliuotufariji. TUPO PAMOJA NA MUNGU AWAZIDISHIE UPENDO. MUWE SALAMA WOTE!!!

12 comments:

  1. Pole sana mpendwa, yote ni mapenzi ya mungu!

    ReplyDelete
  2. Upendo wenu na uwe bila unafiki.Chukieni maovu, shikamaneni na mema.Katika upendo wa kindugu iweni na upendo mwororo kwa mtu na mwenzake. Katika kuonyeshana heshima iweni wa kwanza.Msiwe wavivu katika kazi zenu.Wakeni roho. Mtumikieni Yehova.Shangilieni katika tumaini. Vumilieni chini ya dhiki. Dumuni katika sala. Shirikini pamoja na watakatifu kulingana na mahitaji yao. Fuateni mwendo wa ukaribishaji-wageni. Endeleeni kuwabariki wale wanaowatesa; muwe mkibariki wala msiwe mkilaani.Shangilieni pamoja na watu wanaoshangilia;lieni pamoja na watu wanaolia._Waroma 12:9-15

    ReplyDelete
  3. Poleni sana wapendwa MUNGU awape nguvuna uvumilivu katika wakati huu mgumu kwenu....Tupo pamoja waungwana.

    ReplyDelete
  4. Pole sana kwa msiba ,ukweli mpaka umepungua kidogo.
    ok pamoja sana katika sala

    ReplyDelete
  5. Tunaednelea kuwa pamoja katika sala rafiki yangu wa hiari. Mungu akutie nguvu.

    ReplyDelete
  6. Kazi ya mwenyezi Mungu haiulizwi, yatupasa kukiri hivyo. Poleni kwa msiba huu nadhani mwenyezi mungu atamrehemu na kumweka mahali pema.

    ReplyDelete
  7. Nachukua nafasi hii na kuwashukuruni wote uliounganika na familia hii kwa wakati huu wa kipindi hiki kigumu kutufariji. Ninyi kweli ni ndugu..Mungu azidi kuwapa Moyo zaidi ili tuzidi kuwa pamoja.

    ReplyDelete
  8. @Yasinta;
    Undugu ni katika kufaana na siyo katika kufanana.
    Pole sana kwa msiba na Yehova Mungu awazidishie mioyo wa ustahimilivu na matumaini kifamilia.

    ReplyDelete
  9. Poleni sana kwa msiba na Yehova Mungu awazidishie mioyo wa ustahimilivu na matumaini kifamilia.

    ReplyDelete