Wednesday, November 28, 2012

NIMEIPENDA SKETI HII/ MREMBO WA LEO!!!


 
Sketi hii nimeipenda sana ni ndefu na ya heshima ...hii ni mimi!!!!:-)
 

5 comments:

  1. tena ya ki africa, kweli ni mrembo wa wiki

    ReplyDelete
  2. Yaani nakuambia Ester! na ndio maana nimeipenda ..KITENGE

    ReplyDelete
  3. Dada M..Duh ulikuwa wapi yaani nimekumiss kweli..Nilijua tu nawe utaipenda hii

    ReplyDelete
  4. We acha tu niilikuwa npigika si unajua mambo ya mchaka mchaka?

    ReplyDelete