Wednesday, November 28, 2012

UPUMZIKE KWA AMANI HUSSEIN RAMADHANI A.K.A SHARO MILIONEA!!


SISI TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI UPUMZIKE KWA AMANI TUTAKUKUMBUKA DAIMA.

2 comments:

  1. Hakika kila nafsi itaonja mauti kila moja ajiandae maana yake hatujui siku wala saa, mapenzi ya Mungu yabarikiwe

    ReplyDelete
  2. kaka Steve! ni kweli kabisa ulichosema. Kila binadamu ameandikiwa namna yake ya kufa. Mwenyezi Mungu na ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina.

    ReplyDelete