Friday, August 24, 2012

IJUMAA YA LEO :- TUUNGANE NA NJOMBE INTERNATIONAL ACADEMY!!!



NAWATAKIENI IJUMAA NJEMA NA MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA!!!

11 comments:

  1. Dada Yasinta, kama utaweza kutoa hizo picha za chini za hao kina dada wawili kwenye blog yako tutashukuru. Usiziweke hata kwenye kumbukumbu zimechafua blog yako.

    ReplyDelete
  2. Dada nadhani hizo picha ungezitoa tu maana zinalalamikiwa sana. Pengine hazina haja kuendelea kuwepo kama zinawaokosesha wadau amani. Neno la Mungu linasema "Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote... (Ebr 12:14)

    ReplyDelete
  3. Asante sana da'Yasinta kwakutuletea Wanyalukolo!!Ijumaa njema kwako na Familia pia.Pamoja sana.

    ReplyDelete
  4. Mzee wa changamoto..Ahsante natumaini nawe utakuwa na wakati mzuri tu.

    Usiye na jina naona kama upo nje ya mada hapa...Ijumaa njema.

    Kaka Mhagama! Amani ipo.

    Rachel/Kachiki! nilikuwa nimekukumbuka sana Njombe na nikapambana na hiyo. Pamoja sana sasa.
    Kadoda/Simon...Ijumaa njema nawe pia:-)

    ReplyDelete
  5. Nimejaribu kuifuatilia hii video ya Njombe. I'm very much impressed na hii project. Natamani kama ingekuwa inaanzishwa pale kwetu Peramiho. Najifunza kitu kwa habari ya Uzalendo.

    ReplyDelete
  6. TUPO PAMOJA NDUGU WANGU IJUMAA NJEMA NA WEWE PIA NA WADAU WENGINE TUPO PAMOJA

    ReplyDelete
  7. Kaka Mhagama:. Nimefurahi kusikia kuwa umeipenda hii na umepata wivu kama ingekuwa kule kwtu Peramiho..muda bado ukitaka utaweza tu...
    emu3! Nami naamini nawe Ijumaa yako imekuwa njema na itaendelea kuwa njema..UPENDO DAIMA.

    ReplyDelete