Friday, August 24, 2012

TUIMAILIZE IJUMAA HII NA WIMBO HUU WA JAMES DANDU -SINA MAKOSA!!


KILA LA KHRI KWA WOTE NA UPENDO DAIMA!!!

4 comments:

  1. Aksante...kwa kweli wimbo umetekenya mtima yani..

    ReplyDelete
  2. Chacha! Du sikujua kama unaweza kusikiliza wimbo na kumtekenya mutu mutima...

    Kachiki nafurahi kama umeburudika:-)
    Kaka Ray!Pamoja daima.

    ReplyDelete