RAY NJAU MWENYEWE
@Hakika wewe ni mwanazuoni mahiri na makini katika tansia ya habari na elimu
kwa jamii. Blogu ni gazeti kama magazeti mengine tunayaona mitaani kwetu.Tofauti
ni namna ujumbe unavyowasilishwa kwa wadau na jamii kwa ujumla.Blogu
inawasilisha ujumbe na taarifa zake kupitia njia ya elektroniki.Hii ni
changamoto kwa wamiliki wote wa blogu kuendelea kuwasilisha kwa jamii kile kitu
ambacho kwa kweli ndiyo matarajio ya jamii.Nampongeza sana Yasinta kwa kuendelea
kuwekeza muda wake katika kuienzi lugha ya Kiswahili akiwa huko
ughaibuni.Kupitia mada hii nimejifunza umuhumu wa kuchagua picha inayofanana na
mada husika ili ibebe taswira ya ujumbe uliopo ndani ya mada husika.Picha
iliyotumika ni sahihi kabisa nami nahitimisha kwa pongezi na shukrani nyingi kwa
Yasinta na wasaidizi wake katika blogu( mama maisha blog) ya maisha na
mafanikio.Maoni yanatoka katika mada hii MAISHA NI ZAWADI. KILA LA KHERI KWA WOTE NA AHSANTE SANA KAKA RAY.
Amen!
ReplyDelete@Yasinta;
ReplyDeleteAsante kwa maisha ni zawadi ndani ya maisha na mafanikio.Hii zawadi kwa wadau wote wa kibaraza cha mama maisha.
Twashukuru sana bwana Njau, na ndugu wangu kwa ujumla, tupo pamoja!
ReplyDeleteNami ngoja nichukue nafasi hii na kusema Ahsante sana kaka Ray...na Simon pia emu3 ahsanteni sana kwa kusema mliyO nayo moyoni.PAMOJA DAIMA.
ReplyDelete@Yasinta;
ReplyDeleteASANTE SANA!!
@Yasinta;
ReplyDeleteASANTE SANA!!