Haya ndiyo matokeo/maendeleo ya bustani ya kapulya kutoka siku hii na siku hii na hapa ni leo mambo ndiyo haya... karibuni wote ila msisahau UNGA WA MUHOGO/MAHINDI...KAPULYA....
Hongera kwa hatua ya mboga kufikia hapo, tunajiandaa kuja kujumuika nawe muda sio mrefu sana. Ingawaje Unga wa mahindi na muhogo sina. Ama kweli mtu kwao.
@Yasinta; Hakika mola hamtumpi mja wake na muomba Mungu kamwe hachoki na jembe halimtupi mtu bali watu hulitupa jembe na kulitelekeza. Hongera na shukrani ni kwa titi ulilonyonya na mikono salama iliyokukuza!
Mija! Lakini haukuwa mzaha na sasa karibu maana huyo mchicha sasa unavyofumuka we acha tu...Usikonde nshapanga kupanda matembele..hivi mchachi, chainizi na figiri haiwezekana kukausha? maboga najua inawezekana. Rachel/Kachiki! Tafuta hilo eneo na mie ntakuwa bibi shamba wako...LOL
Hongera kwa hatua ya mboga kufikia hapo, tunajiandaa kuja kujumuika nawe muda sio mrefu sana. Ingawaje Unga wa mahindi na muhogo sina. Ama kweli mtu kwao.
ReplyDeleteMtu kwao, na muungwana haachi mila yake. Hongera sana kwa mbogamboga, nitakuja kudowea
ReplyDeleteMbona ukuninogesa sana makolo ago,nitayarisha uhembe wa mayau kabisa.
ReplyDelete@Yasinta;
ReplyDeleteHakika mola hamtumpi mja wake na muomba Mungu kamwe hachoki na jembe halimtupi mtu bali watu hulitupa jembe na kulitelekeza.
Hongera na shukrani ni kwa titi ulilonyonya na mikono salama iliyokukuza!
Mkulima mmoja walaji wengi, tupo njiani kuja kuchuma mboga!!!!!
ReplyDeleteUsiye na jina KARIBU sana hata kama huna unga twaweza kula na wali au mboga tu...
ReplyDeleteemu3! wala usikonde ni mboga nyingi sana ...
Rehema..Bwela tu mlongo
Kaka Ray! Ahsange kwa pongezi
Kachiki! Yaani kimbia uje usichelewa....usisahau unga.
Hahahahaa Rachel waniacha hoi mie.. waso wakulima utawajua tu..
ReplyDeleteYasinta mzahamzaha mwisho wake tunakula mboga duh!!
Next time, panda matembele ili uyakaushe ututumie na huku..
Bless ya!
Hahahahaa Mija mwana wa Sayi!!umeona eehh.natafuta sehemu ya kulima sasa.
ReplyDeleteMija! Lakini haukuwa mzaha na sasa karibu maana huyo mchicha sasa unavyofumuka we acha tu...Usikonde nshapanga kupanda matembele..hivi mchachi, chainizi na figiri haiwezekana kukausha? maboga najua inawezekana.
ReplyDeleteRachel/Kachiki! Tafuta hilo eneo na mie ntakuwa bibi shamba wako...LOL