Tuesday, June 26, 2012

NENO LA LEO!!

Kama vyakula ulavyo sio vizuri kwa mwili wako, basi angalia viwe ni vizuri kwa ajili ya nafsi yako.
SIKU NJEMA KWA WOTE...KAPULYA

7 comments:

  1. Hili neno limetulia sana tu!

    Ulivyo kwa ulacho!

    ReplyDelete
  2. @Yasinta;
    Kwa ujumla wake somo la leo ni gumu nami nimekosa pa kuanzia.

    ReplyDelete
  3. Kaka o´Wambura naona umenipata...
    Ndugu wangu Ray! hapa ni kwamba kuna watu wanajua wakila kwa mfano chips si nzuri kwa afya lakini wanakula kwa vile ni tamu....

    ReplyDelete
  4. Tulekwa ajili ya kujenga,kulinda nakutianguvu mwili, siokula kwa ajili ya kujaza tumbo!

    ReplyDelete
  5. nawe pia Kapulya, siku njema pia ujumbe mzuri

    ReplyDelete
  6. @Yasinta;
    Asante kwa kuweka mambo sawa!
    Swali:Tunakula ili tuishi au tunaishi ili tule?????????

    ReplyDelete