Ester! kama vile ulikuwepo mawazoni mwangu..Nami nadhani anasema hivyo... Kaka Chacha...Hapa si kujua ni kuotea au pia unaweza kugeuza yaani hapa ni mume na mke...je unafikiri ingekuwaje?
Kwa tulio wafugaji, hapa jogoo anamwita kuku jike aje ale chakula,halafu wakati kuku jike anakula chakula hicho ambacho jogoo kakigundua , nahiyo huwa ni njia ya kimahaba kwa jogoo kumpata kirahisi kuku jike.hapo bila kuchelewa wataanza kufukuzana na hatimaye kuku jike anapata chakulayake ya mchana.pia wakati jogoo anatega mtego wa kumnasa jike huwa anatoa mlio fulani ambao kwa hakika jike lazima ataingia mkenge. jogoo anambinu nzuri sana anapo taka kuvunja amri ya 6!. kaka s.
Hii ni mfano halisi ya misha yetu,...kuwa upendo ni muhimu, kujaliana na kuwa karibu na mwenzako. Kuku jogoo, utamuona, akipata kitu atamuita kuku jike kama vile kuku jike anavyowaita vifaranga...mfano wa upendo. Siku hizi upendo ni `hapendwi mtu, kinachopendwa ni pesa....tutafika kweli.
Wadau naona hapa somo sasa limekolea na mada imezuka kivingine kuwa kuku wana upendo kuliko binadamu.Wakati huku wanakufa njaa kutokana na ukosefu wa chakule kule upande wa pili maghala yanafurika kwa nafaka.
hahaha hapo anasema kula ushibe ila usisahau majukumu yako ya familia na watoto wana njaa
ReplyDeletemmmmh! bahati mbaya sijui lugha za wanyama, wadudu na ndege bali za wanadamu baadhi teh teh teh!
ReplyDeleteEster! kama vile ulikuwepo mawazoni mwangu..Nami nadhani anasema hivyo...
ReplyDeleteKaka Chacha...Hapa si kujua ni kuotea au pia unaweza kugeuza yaani hapa ni mume na mke...je unafikiri ingekuwaje?
Ajiandaa kuomba unyumba......
ReplyDeleteIsrael acha kunichekesha mie tehe tehe tehe
ReplyDeleteIsrael usinichekeshe ,lakini kwa mawazo yangu nafikiria anaomba unyumba.
ReplyDeleteDuh,hapa ni kitendawili tega ukishindwa nipe mji na mji nakupa Songea!
ReplyDeleteWajanja Njiwa hasa katika maswala ya nipe kidogo nichangamshe damu!
ReplyDelete:-(
Kwa tulio wafugaji, hapa jogoo anamwita kuku jike aje ale chakula,halafu wakati kuku jike anakula chakula hicho ambacho jogoo kakigundua , nahiyo huwa ni njia ya kimahaba kwa jogoo kumpata kirahisi kuku jike.hapo bila kuchelewa wataanza kufukuzana na hatimaye kuku jike anapata chakulayake ya mchana.pia wakati jogoo anatega mtego wa kumnasa jike huwa anatoa mlio fulani ambao kwa hakika jike lazima ataingia mkenge. jogoo anambinu nzuri sana anapo taka kuvunja amri ya 6!. kaka s.
ReplyDeleteanasema "ngoja nitifuetifue nikuchambuli wadudu wengine wanang'ata mrembo wasijekukukwama bureee..! kokoko..ko ko...kokoliiiko!
ReplyDeleteu get me?
Mie naona vyote njoo ule au you know what I mean kama ulivyoliweka. Maisha ndivyo yalivyo hata hivyo. Muhimu ni kuheshimiana na kuridhishana.
ReplyDeleteHii ni mfano halisi ya misha yetu,...kuwa upendo ni muhimu, kujaliana na kuwa karibu na mwenzako.
ReplyDeleteKuku jogoo, utamuona, akipata kitu atamuita kuku jike kama vile kuku jike anavyowaita vifaranga...mfano wa upendo.
Siku hizi upendo ni `hapendwi mtu, kinachopendwa ni pesa....tutafika kweli.
Tupo pamoja ndugu wangu
Wadau naona hapa somo sasa limekolea na mada imezuka kivingine kuwa kuku wana upendo kuliko binadamu.Wakati huku wanakufa njaa kutokana na ukosefu wa chakule kule upande wa pili maghala yanafurika kwa nafaka.
ReplyDelete"Wanakufa njaa kutokana na ukosefu wa chakula".
ReplyDelete