NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA KWA WIMBO HUU NAJUTA!!
WAKATI MWINGINE INAKUWA KAMA USIVYOTARAJIA...NA MWISHO NI MAUMIVU ILA KAMA MKIONGEA MNAWEZA KUELENA!!!!NAWATAKIENI MWISHO WA WIKI UWE SALAMA KWA WOTE!!!
Usiye na jina ni vigumu kukujibu kama huyo mtu maalum niu ww wakati hujasema wewe ni nani? Kaka Ray ni kitu gani usichoelewa? Nawe uwe na mwisho wa juma /mapumziko mema na familia yako.
Ahsante mwanakwetu kwa burudani na ujumbe pouwaaa,iwenjema nanyi hapo nyumbani.mimi penda sana weweeeee.
ReplyDeleteRachel wimbo huu ni mtu maalum sana kwangu ambaye NUUHUSUDU SANA...mimi penda sana ww pia.
ReplyDeleteYasinta, huyo mtu maalum ni mimi?
ReplyDeleteAnonymous can be any one pretending to know Yasinta.
Weekend njema wa kunyumba!
Haya na mimi hapa sijaelewa kitu chochote lakini nawatakieni nyote wikiendi njema kifamilia.
ReplyDeleteUsiye na jina ni vigumu kukujibu kama huyo mtu maalum niu ww wakati hujasema wewe ni nani?
ReplyDeleteKaka Ray ni kitu gani usichoelewa? Nawe uwe na mwisho wa juma /mapumziko mema na familia yako.
Asante sana Yasinta, enjoy your weekend..
ReplyDeleteMija natumaini nawe pia ulikuwa na wikiend njema na ndefu!! Ahsante dada wangu:-)
ReplyDelete