Sunday, April 29, 2012

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE WATAKAOPITA HAPA!!

Upendo na Amani Ametujalia Mungu!!
Hili ndilo neno la Jumapili ya leo!!

8 comments:

  1. nawewe pia juma na pili njema.(jumapili)!? kaka s.

    ReplyDelete
  2. Shukran mama erick jpili njema na kwako pia

    ReplyDelete
  3. Kaka S siku ukifungua blogu yako nitarukaruka kama ndama...

    ReplyDelete
  4. usikonde dada yangu yawezekana ipo siku huwezi juwa. subira ya vuta kheri. kaka s.

    ReplyDelete
  5. Kwetu ni salama na tunamshukuru sana Yehova Mungu kwa kutuamsha salama na mvua ya wikiendi hadi asubuhi hii hapa TZDAR.J3 kwa mama maisha na wadau wote wa kibarazani.
    ASALAAM ALEYKUM!!

    ReplyDelete
  6. Kwanza samahani kwa kuchelewa kujibu...Pili ahsanteni sana kwa mchango wenu kwani ndio nguvu kwangu. Mola awe nanyi daima:-)

    ReplyDelete