Wednesday, April 25, 2012

MWANAFUNZI AKUTWA AKIFANYA NGONO NA NGÓMBE WA JIRANI!!

Kwa vile ni siku ya KIPENGELE CHA MARUDIO YA MADA BASI TUENDELEE KUSOMA NA HII. Binafsi imenisikitisha sana.... na nimestaajabika mno.

Habari na Ezekiel Kamanga, Kyela

Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari Ikolo, Wilaya ya Kyela Bakiro Hance (18), amekutwa akifanya mapenzi na ng’ombe wa jirani yake.

Tukio hilo limetokea Machi 28 mwaka huu majira ya saa sita mchana katika Kijiji cha Ikolo ambapo mtuhumiwa alimchukua ng’ombe mmoja kati ya wawili wanaomilikiwa na Bwana Dickson Mwakimi, waliokuwa wamefungwa karibu na nyumba anayoishi mmiliki huyo.

Bwana Mwakimi alisikia ng’ombe wake akitoa sauti isiyo ya kawaida, kisha akatoka nje na kumkuta mwanafunzi huyo akifanya mapenzi na ng’ombe, ambapo alimkamata mwanafunzi huyo alimpeleka kwa mzazi wake aitwaye Bwana Hance, na mwanafunzi huyo alikiri kutenda kosa hilo ingawa hakuweza kueleza sababu zilizompelekea kufanya kitendo hicho cha aina yake.

Ameongeza kuwa mara kadhaa amekuwa akitenda tendo hilo na kwamba alijaribu kumkamata ng’ombe wa kwanza lakini alikuwa mkali hali iliyopelekea kushindwa kutimiza azma yake mwingine wa Bwana Mwakimi, ndipo alipoamua kumkamata ng’ombe wa pili na kumfunga kamba kwenye mti uliokaribu na kisha kuanza kufanya naye mapenzi.

Hata hivyo familia zote mbili za mmiliki wang’ombe na mwanafunzi zinaendelea kufanya mazungumzo ili kuondoa tofauti zilizojitokeza za tukio hilo la ajabu lililofanywa na mwanafunzi huyo.
via blogu ya ChimbukoLetu
-----------------------------------------------------------------
Najiuliza:- Ama kweli sijui sijui huyu kijana aliwaza nini?


18 comments:

  1. Mbona inasikitisha hiviiiiiii, aliwaza nini? maisha haya? kazi ipo

    ReplyDelete
  2. Nakwambia Da´Ester!! hakika hii dunia hii imeharibika sasa yaani nilipoisoma hii habari nikatoa na mchozi nikajiuliza ALIWAZA NINI NA KWANINI. Maisha haya si maisha tena na kazi ipo haswa sio ndogo ...

    ReplyDelete
    Replies
    1. sasa msaidi ili asiwweze
      Kurudia tena maana tabia ni kama ngozi ...

      Delete
  3. Mmmhh! ndugu yangu Chacha! Ngómbe kweli. Kumbuka ngómbe ni mnyama na yeye ni binadamu kweli ipo hiyo????

    ReplyDelete
  4. Nafikiri atakuwa alikuwa na sababu yakutosha kufanya mapenzi na huyo myama. kuwaza aliwaza na ndiyo maana akatenda.na hii si ajabu kwani nimengi tu yanatendeka na binaadamu wanao tuzunguka.nikijana wa miaka 18 ndo ameanza kujuwa ngono sasa kama bila kupata muongozo bora wa makuzi yake anaweza kujikuta anahukumiwa nawatu kwa kitendo hicho bila yeye kusikilizwa kwa upole na kujuwa undani wake bila kushutumiwa. kaka s

    ReplyDelete
  5. angeulizwa labda angetoa jibu mujaarabu kwa nini kafanya hivo....nadhani jibu langu ndo angetoa japo nyie waganga mngesema amechanganyikiwa.

    hata kama mnyama raha alokuwa anaipata/kuisikia si ni ileile ama kuna utofauti?

    achana na hiyo habari ya mnyama na binadamu...kwani hujasikia dada zetu wanaofanya 'mapenzi' na mbwa kwa malipo?

    ReplyDelete
  6. Halafu dogo anaonekana ngangali kinoma mpaka ngombe analia shughuli ilikuwa simchezo.kama dogo angekuwa si mchezaji mzuri ngombe asingelia hivyo kiasi cha kushitua mwenye mali !!! dogo kiboko. kaka s.

    ReplyDelete
  7. Kumbe hizi nyama tunazokula zina mambo namna hii!

    Halafu mimi kama mwalimu najiuliza maana ya kuendelea kwenda darasani iwapo wanafunzi wenyewe ndio hao!

    ReplyDelete
  8. Nakubaliana na kaka Sam , kuwa alikuwa na sababu zake kufanya hivyo. Yaani kutaka kufanya majaribio.Ngangali kweli yupo maana duh!
    Kaka Chacha! labda kama angeulizwa angetoa sababu kwanini alifanya hivyo ..Lakini hata hivyo kwa nini amchague ngómbe?...
    Prof. Mbele...nakuunga mkono kama ndo walimu na wazazi wanatoa mafunzo na matokeo yake ndo haya kwa kweli inakatisha tamaa. Ila tusikate tamaa TUZIDI KUWAHAMASISHA vijana wetu mapema. Nami pia nimewaza hivyo kama ndo nyama tulazo ndo hivi kaazi kwelikweli:-(

    ReplyDelete
  9. Huyu mwanafunzi hajafanya mapenzi bali kafanya ngono na mnyama.Hapa hakuna mapenzi wa mahaba.
    Tunaposema tunaishi katika kizazi kilichokithiri katika mshuko wa maadili tumaanisha uwepo wa matukio yasiyo ya kawaida katika jamii yetu.
    Amani kwa wadau wote wa kibarazani na hapa Tanzania kesho na mapumziko ndani ya maadhimisho ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

    ReplyDelete
  10. Nakubakubaliana na Kaka S kwa asilimia zote...

    ReplyDelete
  11. Wadau hapa tunakutana na changamoto lukuki.Kitoweo cha watu kimechafuliwa na binadamu.Uwezo wa kijana wa huyu katika kuwaza na kutenda ni wa kiwango gani?Hakika mimi sijui?Je baada ya tukio hili usalama wa afya yake kutokana na maambukizo ya magonjwa ya wanyama upo?Wakati maswali haya hayajapata majibu nao marafiki zake wa kike wapo salama kiasi gani kutokana na ushirikiano wake katika ngono na wanyama na binadamu kwa nyakati tofauti?Hapa tunajadili tu lakini athari za tukio hili ndani ya jamii ni kubwa kuliko tunavyoweza kutafakari hapa kibrazani kwa maisha binti mafanikio.
    -------------------------------
    Endelea na kisa hiki:
    ---------------
    Na Mwandishi Wetu, Morogoro
    Naibu ya karne na ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni! Mkazi wa Kata ya Mwembesongo, Manispaa ya Morogoro, Sultan Juma (25) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa akikabiliwa na shitaka la kufanya mapenzi na mbwa, Risasi Jumamosi lina ripoti kamili.

    Habari zinadai kwamba jamaa huyo alinaswa akimuingilia kimwili mbwa Novemba Mosi, mwaka huu, majira ya saa 8:00 usiku kwenye choo cha mmiliki wa mnyama huyo aliyefahamika kwa jina la Boniface Rafael, mkazi wa Mji Mpya, mjini hapa.

    Ilielezwa kwamba siku ya tukio, mwenye mbwa alisikia mbwa wake akipiga kelele usiku wa manane ambapo alitoka nje kutaka kujua kulikoni, ndipo aliposhangaa kusikia sauti ya mbwa huyo ikitokea chooni.

    Ilizidi kudaiwa kuwa, baada ya Rafael kusikia kelele hizo, alinyatia hadi karibu na choo ambapo alishuhudia kwa macho yake mchezo aliokuwa anafanyiwa mbwa wake.
    Duru za habari zilisema kuwa, baada ya mwenye mbwa kushuhudia ‘unyambilisi’ huo unaotajwa kuwa ni wa karne, aliwaamsha jirani zake ambapo walivunja mlango wa choo hicho.

    Ilielezwa kuwa, njemba huyo alibambwa ‘redi-hendedi’ akiwa anaendelea ‘kumfaidi’ mbwa huyo.
    Ilidaiwa kwamba baada ya kumnasa jamaa huyo, walimpeleka moja kwa zote katika kituo cha polisi, akawekwa nyuma ya nondo za mahabusu.

    Ilisemekana kwamba, katika kile kinachoonekana kuwa njemba huyo alikuwa na mazoea ya kumfanyia ‘kamchezo kachafu’ mnyama huyo, wakati mtuhumiwa akikamatwa na kupandishwa kwenye gari la polisi, mbwa huyo alikuwa akimfuata kwa nyuma huku akimlilia kwa uchungu kuonesha kuwa amemzoea.

    Ilidaiwa kwamba baada ya mbwa huyo kuchunguzwa, ilibainika kuwa alikuwa na mimba ambayo haikufahamika mara moja kama ni ya mtuhumiwa huyo au ni ya mbwa wenzake.

    Kamanda wa polisi mkoani hapa, Thobias Andengenya alithibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo mtuhumiwa huyo tayari amepandishwa kizimbani kujibu shitaka la kufanya mapenzi na mbwa.

    Kwa mujibu wa sheria na haki za wanyama, ni kosa la jinai kumuingilia kimwili mnyama wa aina yoyote, na endapo mtuhumiwa atabainika na hatia, atahukumiwa kifungo cha miaka kadhaa jela.

    Katika tukio hilo, ilielezwa kuwa, madaktari wa Mifugo wanaendelea na uchunguzi ili kubaini ukweli juu ya mhusika wa mimba hiyo na kesi hiyo iliahirishwa hadi Novemba 17, mwaka huu itakaposomwa tena.

    Mtuhumiwa alirejeshwa rumande kwa kukosa dhamana.

    ReplyDelete
  12. Mwanamke Afanya Mapenzi na Mbwa, Nguruwe na Punda

    NewsImages/4421870.jpg
    Monday, May 03, 2010 2:02 AM
    Mwanamke mmoja nchini Marekani amefikishwa mahakamani kwa kufanya mapenzi na wanyama mbali mbali kama vile nguruwe, mbwa na punda na pia anakabiliwa na kesi ya kuwaambukiza wanyama magonjwa ya zinaa.
    Dovie Lee Kerner, mwanamama mwenye umri wa miaka 47 wa mji wa Plumville, Pennsylvania nchini Marekani anakabiliwa na mashtaka ya kuwaambukiza magonjwa ya zinaa wanyama na binadamu.

    Inadaiwa kuwa Dovie ambaye anaishi na mpenzi wake ana pepo kali sana la ngono kiasi cha kutochagua mwanaume yupi au mnyama yupi wa kufanya naye mapenzi.

    Dovie anakabiliwa na kesi ya kufanya mapenzi na punda, mbwa na nguruwe.

    Polisi wa Pennsylvania waligundua mchezo mchafu wa Dovie baada ya mpenzi wake kuwapigia simu polisi na kuuliza kama kufanya mapenzi na wanyama ni kosa.

    Polisi walipomwambia kuwa ni kosa kubwa kufanya mapenzi na wanyama, mpenzi wake huyo aliwaambia polisi kuwa anayo video ya mpenzi wake akifanya mapenzi na mbwa, punda na nguruwe.

    Polisi hapo hapo walimtia mbaroni Dovie ambaye kutokana na mchezo wake huo wa kufanya mapenzi na wanyama alimuambukiza mbwa gonjwa la zinaa ambalo polisi hawakulitaja.

    Dovie pia anadaiwa kumwambukiza mpenzi wake huyo gonjwa hilo la zinaa.

    Dovie amefunguliwa mashtaka ya ukatili kwa wanyama na atafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa.

    ReplyDelete
  13. 24 Kwa hiyo, kwa kupatana na tamaa za mioyo yao, Mungu aliwaacha katika uchafu, ili miili yao ivunjiwe heshima kati yao, 25 yaani, wale walioibadili kweli ya Mungu kwa ajili ya uwongo nao wakauheshimu mno uumbaji na kuutolea utumishi mtakatifu badala ya kumtolea Yeye aliyeumba, anayebarikiwa milele. Amina. 26 Ndiyo sababu Mungu aliwaacha katika hamu za ngono yenye kufedhehesha, kwa maana wanawake wao walibadili matumizi yao wenyewe ya asili kuwa yale yaliyo kinyume cha asili; 27 na vivyo hivyo pia hata wanaume waliacha matumizi ya asili ya mwanamke na kuwakiana tamaa kali katika uchu wao kuelekeana wao wenyewe, wanaume kwa wanaume, wakitenda mambo machafu na kupokea ndani yao wenyewe malipo kamili, yaliyostahili kosa lao. _Waroma 1:24-27

    ReplyDelete
  14. Yasinta huyo chacha kwao ni wafugaji wa ngombe hivyo anajua jinsi ya kujikinga na ukimwi........!!!!!?????

    ReplyDelete
  15. Ningekuwa mimi ndo mwenye ng'ombe ningewaomba wazazi wake wamlipie mahari kisha niwaachie huyo ng'ombe.

    Nick

    ReplyDelete