Haya, mdada Yasinta songa mbele. kawimbo kazuri. jumapili njema na wewe. siku zina kwenda kweli sasa hivi utaambiwa tumefika mwezi wa pili,tayari kwa siku ya wapendanao. ila msi okoke kuweni wacha mungu tu,maana dada wa swahili na waswahili umeshuka/unashuka injili mpaka una tisha ubarikiwe sana. kaka s
Hahahahah Kaka Sam mwana wa Mbogo!!!Ameen nanyi Mbarikiwe sana na Familia.@da'Yasinta..............Chuki/Roho mbaya ni Ugonjwa tuu,Ukiomba/tukiomba Mungu Watapona/tutapona,Mungu yu mwema sana.Mbarikiwe sana wooooteee.Songa mbeleee usirudi nyumaaa!!
Ahsante sana da'Yasinta, iwe njema kwenu pia,Hakika Songa mbele,Utukufu tumpe yeye aliye juu!!!!!!!Ameen.Baraka kwenu wooooteeee.
ReplyDeleteHaya, mdada Yasinta songa mbele. kawimbo kazuri. jumapili njema na wewe. siku zina kwenda kweli sasa hivi utaambiwa tumefika mwezi wa pili,tayari kwa siku ya wapendanao.
ReplyDeleteila msi okoke kuweni wacha mungu tu,maana dada wa swahili na waswahili umeshuka/unashuka injili mpaka una tisha ubarikiwe sana.
kaka s
Rachel! nashukuru na ninaamini jumapili yak imekuwa njema pia...
ReplyDeleteKaka Sam! Nataka nawe pia usonge mbele...Hivi kuna wanaochukiana?
Na kaka Sam mmmhhh naache maswali mengi. Mbarikiwe sana wote mtakaopita hapa.
Hahahahah Kaka Sam mwana wa Mbogo!!!Ameen nanyi Mbarikiwe sana na Familia.@da'Yasinta..............Chuki/Roho mbaya ni Ugonjwa tuu,Ukiomba/tukiomba Mungu Watapona/tutapona,Mungu yu mwema sana.Mbarikiwe sana wooooteee.Songa mbeleee usirudi nyumaaa!!
ReplyDeleteJumapili njema kwa wote wajameni.
ReplyDeleteHello my dear friend ! Thank you for stopping by! Happy and gorgeous new week to you. Greetings from Rio de Janeiro/Brasil.
ReplyDeleteHappy New Year!!!!
Ahsanteni wote na naamini mmekuwa na jumapili njema.
ReplyDelete