Friday, December 2, 2011

UJUMBE WANGU WA IJUMAA YA LEO UNASEMA!!!!

Ndoto zetu ndizo zinazotufanya tusonge mbele.
NAWATAKIENI IJUMAA NJEMA NA MWANZO WA MWISHO WA JUMA PIA. NA WOTE MTAKAOPITA HAPA MUWE NA AMANI.

2 comments:

  1. Amina dada yangu,nanyi muwe na wakati mwema!!

    ReplyDelete
  2. Ahsante Dada Rachel kwa kupita hapa kila uwezapo. Na ubarikiwa kwa kupita hapa na kila atayepita hapa.Ila ule ugali na zile dagaa karoho kanauma kweli..LOL

    ReplyDelete