Nimepatwa na mstuko pia majonzi makubwa sana baada ya kusikia kifo cha msanii huyu kwani ni moja ya wasanii niliokuwa nikiwasdikiliza kila mara. NAPENDA KUTOA POLE KWA FAMILIA YA MR EBBO NA NDUGU PIA MARAFIKI WOTE. MAREHEMU NA ASTAREHE KWA AMANIPEPONI AMINA. TUTAKUKUMBUKA DAIMA.
Mzungu mamantilie!. mungu amechukuwa kilicho chake.nikumshukuru mungu kwa hili jambo. wote ni safaliyetu huko,ila hatujuwi ,saa,siku namuda . kaka s
ReplyDeletePle sana wadau wa bf mmekosa uhondo wa mr ebo ,
ReplyDeleteKaka sam..Ndiyo mamantilie mzungu! hakika kila mtu ana siku yake ambayo Yeye baba Mungu tu ndiye anayejua.
ReplyDeleteChe Jiah! hili ni pigo ila tutamkumbuka sana hasa katika sala pia miziki yake.