Thursday, December 1, 2011

PICHA YA WIKI:- SARE SARE MAUA ASIYEJUA KUCHAGUA!!

huyu ni Yasinta Ngonyani (Kapulya) picha imepigwa jana 30/11/2011.
Nilipoina picha hii ya chini nikatamani kama ndiyo ningekuwa mie kwani napenda sana mvao huu/vazi hili la asili ya kimasai. Nikaona ngoja nami nivae mgololi wangu..... ila naona kama naogopa kitu katika picha hii...mmmmhhh!!!

huyu ni ..Mhe. Namelo Sokoine
...ila naona mwenzangu mgolori wake una urembo, halafu ana mkoba, pia zaidi ya yote hiyo ya shingoni /hiyo nimeivizia kila mara lakini sijaipata bado.... Ila nadhani kidogo picha zinafanana.. Au?

9 comments:

  1. Mmh, kweli ni sare sare sema kuna vitu vichache hivi vimepishana!

    ReplyDelete
  2. Dhamira ikiwepo malengo hufikiwa japo kwa njia tofauti.Hongereni sana dada zetu katika harakati za mwanamke ndani ya changamoto za maisha na mafanikio.

    ReplyDelete
  3. Mmetofautiana majira ya mwaka..Yasinta unatetemeka hapo uongo kweli?

    Ila mmependeza sana tena sana..

    Wabarikiwe wote watakaochangia mada hii..

    ReplyDelete
  4. HOOO Kama unataka kuwa ingie kwenye picha bora ya mwaka muda wake bado tunataka picha zako zote uzilete ndipo tutachagua tunayo itaka kwa mwaka huu uanze na wiki ijayo siyo wiki hii
    ila wewe Dada yangu kupendeza kwako waambie ni jadi Hata ukivaa ngozi utapendeza tuuuu sijajuwa ngozi kingoni wanaitaje mimi kule kwa wajomba zangu wanaita LIPENDE
    Hongera usengwile mdala
    Che Jiah

    ReplyDelete
  5. Ahsanteni sana wote ...Mbarikiwe wote. Mija ni kweli kulikuwa na baridi ndugu yangu:-)

    ReplyDelete