Saturday, December 3, 2011

NATAMANI NINGEPATA MLO HUU MCHANA WA JUMAMOSI HII LAKINI....SINA. SIJUI NIFANYEJE?

UGALI......




......KWA DAGAA´


Nimepita mara mia kwa dada Rachel na kumezea meta au kujaribu kula kwa macho na nimeshindwa maana nina unga lakini sina dagaa...

JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE HATA KAMA BILA UGALI NA DAGAA:-)

4 comments:

  1. Dah, umenitamanisha sana, kitu cha Ugali na Dagaa si mchezo bwana!
    Weekend njema na wewe pia!

    ReplyDelete
  2. Pole dada wa mimi, Najua ukiwa na hamu ya vitu vya nyumbani vinasababisha na kukumbuka nyumbani pia,Ahsante nanyi muwe na wakati mwema!!!

    ReplyDelete
  3. JigambeAds Sijakutamanisha wewe tu nimejitamanisha pia mwenyewe. kweli Kitu ugali na dagaa si mchezo.

    Rachel! Yaani kweli nimekukumba kwelikweli nyumbani Ahsante kwa kunikumbusha kunyumba.

    Simon! najua hutaki tu kusema kuwa nawe umetamani hadi mate kudondoka na umeishia tu mmmmmh

    ReplyDelete