Sunday, December 4, 2011

HONGERA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA YASINTA MDOGO (KIBIBI)



Hongera kwa siku ya kuzaliwa Wajina wangu. Huyu binti ni binri wa kaka yangu. Kaka ambaye aliniachia ziwa na huyu ni mtoto wake wa pili na leo anatimiza miaka 8. Ila nampa pole kwa kuitwa YASINTA...najua mnajua kwanini nasema hivyo. HONGERA WAJINA:-)

4 comments:

  1. Hongera sana kwa kuzaliwa Yasinta Jr....Mungu awe nawe katika maisha yako yote mema. Na ukuwe vizuri uwe mpiganaji mzuri kama Yasinta mkubwa ak.a Shangazi yako.
    Halafu naomba hiyo koroboi iliyopo hapo nyuma yako....maana Kijijini kwangu kuna kiza sana...ha ha haaaa!!!!!
    HAPPY BIRTHDAY YASINTA JR.

    ReplyDelete
  2. Kaka Braka! Ahsante kwa kumtakia kheri wajina wangi. Ubarikiwe sana na pia wengine wote waliopita hapa.

    ReplyDelete
  3. Kibibi/Yasinta wajina wa dada,Hongera sana Mungu akuongezee miaka mingi yenye Amani na mafanikio katika Yote!

    ReplyDelete
  4. ok mami namtakia siku njema huyo mtoto ila nimekubarisana pozi lake,na amenikumbusha sana mbali,enzi za primary.

    ReplyDelete