Vikuku ni urembo au?
KUNA mtu kanitumia hiyo picha anauliza hizo shanga za miguuni zinavaliwa kujiremba au zina maana nyingine?Kwa mujibu wa maelezo yake, amewahi kusikia kwamba, shanga hizo a.k.a vikuku zina maana yake hivyo anaomba kufahamu kama ni kweli. Anasema, kaelezwa kwamba, kikuku kikivaliwa mguu wa kulia ina maana yake, na kikivaliwa kushoto kinakuwa na maana nyingine, ni kweli?Kama kila mguu una maana yake, vikivaliwa miguu yote inamaanisha nini?
Pia nimesikia nchi kama Ivory Cost ukivaa mguu wa kulia basi inaonyesha kuwa wewe ni msagaji /shoga. Je ni kweli?
Nami nasubiri wajuzi,maana tusivamie tusivyojua au kilamtu anamaana yake!
ReplyDeleteWaindi wanavaa wana maana gani?ni urembo tu
ReplyDeletevikuku vina maana chakushoto maana yake ni analiwa marambili na kulia yeye anawala wenzake kama ilivyo kwa wanaume kutoboa sikio la kushoto nikwamba anawahurumia wanaume wenzie ndio asili yake lakini sikuhizi wanafanya ni urembo
ReplyDelete