Karibu sana na hasa kama umeburukika kweli...Kusema kweli mimi nilikuwa natafute nyimbo za kingoni ndo nikakutana na huu ila ni maneno machache tu kwa kweli naipenda sana lugha yangu ya asili. Kwani ww unawafahamu?
muziki ni kitu kinachoweza kukukumbusha nyuma kwa haraka sana na ukahuzunika ama kufurahi na pengine kutoa mchozi ama wa raha ama wa huzuni. naambiwa zinafuatia picha. burudika mwanakwetu.
Ahsante dadake kwa kibao Muruwaaa,hivi hawa bado wanafanya Muziki au niwimbo wa zamani?
ReplyDeleteKaribu sana na hasa kama umeburukika kweli...Kusema kweli mimi nilikuwa natafute nyimbo za kingoni ndo nikakutana na huu ila ni maneno machache tu kwa kweli naipenda sana lugha yangu ya asili. Kwani ww unawafahamu?
ReplyDeletemuziki ni kitu kinachoweza kukukumbusha nyuma kwa haraka sana na ukahuzunika ama kufurahi na pengine kutoa mchozi ama wa raha ama wa huzuni. naambiwa zinafuatia picha. burudika mwanakwetu.
ReplyDeleteDa'Yasinta nawakumbuka hawa waliimba nyimbo moja hivi inaitwa Nung'aEmbe
ReplyDelete