Monday, December 12, 2011

TUANZE JUMATATU HII KWA MWANAMTINDO HUYU JE UNAMFAHAMU?

Kuna siku mtu lazima ujifurahishe na huyu mwanadada aliamua kujifurahisha au kuwa modo wa kijapani kwa siku moja kama mnavyomwona. Huhitaji kwenda mpaka Japani na kuwa mwana mtindo:-)


Mmmmmhhh! kweli ninafaa kuwa mJapani? mbona mie MTZ.. Aaahh kwa siku moja nafaa....





あなたについて= habari zenu. Ni raha kweli kuwa mJapani kwa siku moja. Dada Mariamu upoo???

11 comments:

  1. Weweee! umetoka unonoo. kumbe za kijapani unaziweza hongera saniii. lakini yasinta sisi wengine bado huja tutendea haki!!!? hebu kula na pensi sikukumoja nawewe mwee.usikonde huu ni uchokozi tu.kaka s

    ReplyDelete
  2. Nilijua utasema hili kaka S...nakuomba kuwa na subira...

    ReplyDelete
  3. Ajaribuye hufanikiwa.Huu ni ubunifu maridhawa kwa ajili kubadilisha menu yako na kukidhi haja ya wateja wako.Ila kidogo umechemsha kwa kuweka mambo wazi badala ya kutoa kitendawili kwa wadau ili wamtambue huyo mwanamitindo wao wenyewe.Wakati ujao jitahidi kuja kimficho!
    -------------------------------
    Mimi kwenye blogu yangu ya maisha ni mikikimikiki nimeweka mada kutoka mirindimo ikizungumzia kifo cha mbwa huko Japani na hapa Yasinta ananiwekea za kijapani.Sasa naona maisha na mafanikio na maisha ni mikikimikiki ni watoto mapacha au?

    ReplyDelete
  4. Umependea sana Modo wetu,kaka sama Ahadi ni deni eehh hhahahahaha!

    ReplyDelete
  5. Kumbe jana sikuona mwanamitindo huyo du! imenikosha sana kumbe hata waweza kujibadili kama Dalal......

    ReplyDelete
  6. &@Yasinta
    &@Ngoni People


    Tuanze na
    @Yasinta:
    Vazi hili ni tishio kwa afya ya moyo!!! Acha wewe Mtoto kufanya michezo hiyo na wazee kwako!!!

    @Ngoni People:
    "Lilanga Lipuma" Nakishukuru sana Kingoni chako... hata mimi nakuelewa barabara maana yako "Uzuri Mithili ya jua Linapochomoza"

    ReplyDelete
  7. Hivi Yasinta katika wanao kuna aliyekufuata utundu?

    ReplyDelete
  8. Wote napenda kuwashukuru kwa kuwa pamoja nami...Mnajua mtu ukijipenda mwenyewe na wenzako watakupenda....Mija utundu gani tena ndugu yangu?

    ReplyDelete
  9. jamani mama erik umependeza mno yaani mimi nilishikika mno hapo nyuma yaani sasa kidogo nnanafasi, yaani ndio naanza kupitia viporo vilivyo nipita tupo pamoja

    ReplyDelete