Kuna msemo mmoja wenye asili ya ughaibuni unasema: "MUZIKI UNA UWEZO WA KUPENYEZA MOYONI MWA MTU NA KUAMSHA SHAUKU YAKE" ------------------------------------- TWANGA PEPETA NI KAULI MBIU YA UBUNIFU INAYOWAKILISHA HARAKATI ZA MWANAMKE WA KIJIJINI KATIKA KUFIKIA MAISHA NA MAFANIKIO.
Kaka Ray! huo msema sikuwahi kuusikia Ahsante ...Ila mziki kweli hauna mwenyewe na utakuta mtu anacheza au kuimba na ukazani furaha kumbe...Remmy Ongala amewahi kuimba...Naupenda sana msemo huu.
Kuna msemo mmoja wenye asili ya ughaibuni unasema:
ReplyDelete"MUZIKI UNA UWEZO WA KUPENYEZA MOYONI MWA MTU NA KUAMSHA SHAUKU YAKE"
-------------------------------------
TWANGA PEPETA NI KAULI MBIU YA UBUNIFU INAYOWAKILISHA HARAKATI ZA MWANAMKE WA KIJIJINI KATIKA KUFIKIA MAISHA NA MAFANIKIO.
Kaka Ray! huo msema sikuwahi kuusikia Ahsante ...Ila mziki kweli hauna mwenyewe na utakuta mtu anacheza au kuimba na ukazani furaha kumbe...Remmy Ongala amewahi kuimba...Naupenda sana msemo huu.
ReplyDelete