Wednesday, November 16, 2011

EBU ANGALIENI/TAZAMENI AU SIKILIZENI HIZI HAPA...FUNDISHO KWA WENGI



Tusikilize na hii pia...




JIONI NJEMA KWA WOTE!!!!!

3 comments:

  1. Asante mwalimu Yasinta kwa kutuachia homuwoki ya siku.

    ReplyDelete
  2. Hiyo chambua niliiona nikacheka haswa mambo hayo da'Yasinta, haya na huyu anaingia na teke kwenye mlango,sababu ya hayo yote inaweza kuwa mwanamke mwenzako/mwenzangu.Mungu tubariki sana.

    ReplyDelete
  3. Kaka Ray! homuweki hii sijui kama nitapata jibu ila ni fundisho kwa wengi kwani ujumbe wake ni mkubwa mno.

    Rache hata mwenzio nilicheka kweli hiyo chambua ila kicheko cha huzuni.
    Na huyo anayeingia na kumpiga mwenzake mateke, mweeeh mwanawake tunapata mateso ila nampongeza kwa kuchukua jukumu na kumwambia kuwa amechoka. Mungu tupe nguvu wanawake.

    ReplyDelete