Thursday, November 24, 2011

MWAMBA ULIOPASUKA...



TUMTEGEMEE MUNGU WETU KWA KILA TUTENDALO. PAMOJA DAIMA.

8 comments:

  1. Mtegemee Yehova kwa moyo wako wote wala usitegemee uelewaji wako mwenyewe.Mtambue yeye katika njia zako zote, naye atanyoosha mapito yako._Methali 3:5,6

    ReplyDelete
  2. Ni kweli yeye ndiye muweza wa yote.

    ReplyDelete
  3. Atawale yeye aliye Juu kwani Atosha,Baraka kwa wote wapitao hapa!

    ReplyDelete
  4. Rafiki yangu wa hiari tuko pamoja katika wiki hii ya kumkumbuka mdogo wetu Asifiwe, huu mwimbo umenigusa sana leo. Mungu ana makusudi ya kila jambo tusiache kumshukuru, kumtukuza na kumuomba atupe uwezo wakutambua na kusikia sauti yake na kuweza kutimiza kile tunachopaswa kwa makusudio yake.

    ReplyDelete
  5. AMEE MUNGU AWABARIKI .

    ReplyDelete
  6. Ushirikiano wenu ndio unanifanya niendelee kublog. AHSANTENI SANA KWELI NINYI NI NDUGU ZANGU WA HIARI.

    ReplyDelete