Friday, October 14, 2011

UJUMBE WA IJUMAA YA LEO:- UPENDO HUWEZA!!

Upendo /mapenzi ni kama maji tu ambayo yawezayo kuizima kiu ya moyo!!! IJUMAA NJEMA WAPENDWA!!

4 comments:

  1. asante kwa ujumbe,na wewe ijumaa njema. kaka S

    ReplyDelete
  2. Ujumbe Mwanana Da Yasinta!
    Nakutakia Jumamosi Kibonge mtu wangu!

    ReplyDelete
  3. mh hata nanilii huweza kuacha kukutekenya kama uko katika upendo

    ReplyDelete