Friday, October 14, 2011

TUMUENZI BABA WA TAIFA JULIUS KAMBARAGE NYERERE KWA WIMBO HUU!!



Au labda pia tunaweza kusikiliza hapa


TUTAKUKUMBUKA MILELE!!

4 comments:

  1. Kazi ni nzuri inayoonesha kumkumbuka baba wa Taifa hayati Mwalimu JK Nyerere.

    "REST IN PEACE MWALIMU"

    ReplyDelete
  2. Mwalimu amefanya makubwa kwa nchi hii anastahili kuenziwa kwa kila namna. Hongera Dada Yasinta kwa Uzalendo pamoja na kuwa upo ughaibuni, unakumbuka sana nyumbani na wakati wote upo nasi huku nyumbani. Tumuenzi zaidi Baba wa Taifa Mwl Nyerere kwa kuwa na moyo aliokuwa nao, hata kama hatutaweza kuwa kama yeye utkibahatika kufikia asilimia 20 tu ya moyo wake nchi hii itakuwa mahali pazuri sana. Tunao andika tuandike, kushauri, kuelekeza, kufichua nk na kila mtu katika eneo lake afanye yale ambayo Mwalimu angefurahi kuyaona.. yaani Uzalendo, Uchapakazi na uadilifu. Karibu kibarazani kwangu pia www.malihoja.blogspot.com

    ReplyDelete
  3. Ntapata wapi nyimbo za maombolezo ya JK Nyerere

    ReplyDelete