Kaka Isaac usitie shaka wanawake wa shoka hao wameshakaa mstari wa mbele kuipigania nchi yao..Hizo Sare walizovaa zimeshikilia ujumbe mzito sana, kwamba kaeni chonjo TANZANIA wanawake tunakuja kuikamata NCHI...
mmependeza wadada,Tanzania OYEE,mnawakilisha vema.kuhusu kabila lake mzigua mimi nafikiri ni kutokana na ASIYEJUA kuchagua na MZIGUA,huwezi kusema asiyejua kuchagua kabila lake mngoniau mluguru.ni mambo ya MISEMO TUU.
Akina msitudanganye kabisa!Tuonyesheni kitu kipya na kamili kwa kuvaa mavazi ya wanawake katika picha kamili kuanzia juu kwenda chini mkionyesha uwakilishi wa kitanzania.
Mmependeza WADADA!
ReplyDeleteAsante MKAKA!
ReplyDeleteda,yasinta unavituko wewe kwikwikwi, ASIYEJUA KUCHAGUA KABILA YAKE SIJUI KWA NINI TULIKUWA TUNASEMA MZIGUA? Samahani Wazigua.
Ahsante MKAKA Simon!
ReplyDeleteRachel! si unajua tena ukiwa Kapulya ...Haya bwana hata mimi sijui kwa nini tulikuwa tukisema mzigua/mzegua..labda kuna anayejua jamani tusaidieni!!!
mumependeza wenyewe,tatizo ni hao viongozi wanaaoongoza hiyo nchi yenye hilo jina wanatuchanganya kwakweli
ReplyDeleteKaka Isaac usitie shaka wanawake wa shoka hao wameshakaa mstari wa mbele kuipigania nchi yao..Hizo Sare walizovaa zimeshikilia ujumbe mzito sana, kwamba kaeni chonjo TANZANIA wanawake tunakuja kuikamata NCHI...
ReplyDeleteNgoja nami nikaitafute yangu tuanze kupiga kazi..
Rachel naye Yasinta kama ndugu vile hapa!!!??? Picha hizi ndio namna ya kutuambia sisi nyie ndugu... au...????
ReplyDelete(miaka yangu hamsini inatosha, nyie Ndugu; na msinizeeshe zaidi!!!)
Sisi enzi zetu tuliiba sale sale maua asiye juwa kuchagua kabila lake.. mgoni. tehe ...tehe... tehe...
ReplyDeletemmetoka bomba mbaya,kudadadeki!! kaka s
mmependeza wadada,Tanzania OYEE,mnawakilisha vema.kuhusu kabila lake mzigua mimi nafikiri ni kutokana na ASIYEJUA kuchagua na MZIGUA,huwezi kusema asiyejua kuchagua kabila lake mngoniau mluguru.ni mambo ya MISEMO TUU.
ReplyDeleteAkina msitudanganye kabisa!Tuonyesheni kitu kipya na kamili kwa kuvaa mavazi ya wanawake katika picha kamili kuanzia juu kwenda chini mkionyesha uwakilishi wa kitanzania.
ReplyDeleteGhafla naamia upande wa mtani wangu MANGI ,...
ReplyDelete... nahisi kuna kitu hamjatuonyesha. Na neno la MANGI liheshimiwe nanyi. Amen.
Swali la kizushi: Hivi ni SALE SALE au SARE SARE?
Ahsanteni wote kwa kuwa nasi hapa
ReplyDeleteNdugu Mamngi na kaka Simon nitawajibu...:-)
nami nitawajibu dada Yasinta!.
ReplyDelete