Mimi huo ulishanishinda. Uji kwa ujumla sijui kwanini huwa nauonisha na kuugua kutokea utotoni.
Mama yangu anadhani kunauwezekano kisaikolojia niliathirika kwa kuona wagonjwa wakibwia sana kitu hiyo kitu ambacho kimentoa hamu zake. :-(
Nilipokuwa shule ya bweni ambako UJI ilikuwa kifungua kinywa nifanikiwa kukondisheni mwili na kuruka kabisa swala la kifungua kinywa kama nimechacha na kushindwa kufungua kinywa kwa kidude kingine.
Ahsante da'Yasinta naonaunameremeta sijui umeweka Siagi, mimi huupenda sana, je wewe unaupikaje?@ kaka wa mimi Kitururu Uji wa mchele jee unapanda? da'Yasinta mpe Chingambo huyo sina hakika na jina hilo.
Rachel wala sijaweka siagi na wala sijaweka sukari wala asali ni kama ulivyo...Jinsi ya kupika nimekologa na maji na kuchemsha mpaka kuchemka na nimechemsha zaidi dakika kama kumi hivi....Rachel una vituko wewe eti mpe chingambo...jina umepatia haswaa. Ngoja aje tuone kama huo uji wa mchele au hicho chingambo kinapanda...
umenikumbusha uji wa mbege dada yasinta yaani mama yngu alikuwa anaupenda ilikuwa spesho sana kwa mama ambaye ametoka kujifungua basi ukipikiwa wanatia maziwa mtindi na siagi na sukari yaani usiombe ni tamu je lakini nasikia kwa watu wenye matatizo ya moyo haiwafai kwa sabaubu inanguvu sana ni hayo tu umenitamanisha na mimi zisubutu kutumia na hii afya niliyonayo nitabaki kuangalia tu kwa macho
Akina msitudanganye kabisa!Tuonyesheni kitu kipya na kamili kwa kuvaa mavazi ya wanawake katika picha kamili kuanzia juu kwenda chini mkionyesha uwakilishi wa kitanzania.
Aisee umenitamanisha sana uji waako maana mimi ni mlevi wa uji
ReplyDeleteMimi huo ulishanishinda. Uji kwa ujumla sijui kwanini huwa nauonisha na kuugua kutokea utotoni.
ReplyDeleteMama yangu anadhani kunauwezekano kisaikolojia niliathirika kwa kuona wagonjwa wakibwia sana kitu hiyo kitu ambacho kimentoa hamu zake. :-(
Nilipokuwa shule ya bweni ambako UJI ilikuwa kifungua kinywa nifanikiwa kukondisheni mwili na kuruka kabisa swala la kifungua kinywa kama nimechacha na kushindwa kufungua kinywa kwa kidude kingine.
Kwa hiyo kiaina THANKS but NO thanks!
Usiye na jina nafurahi kukutamanisha ...umenifurahisha kwa kusema kuwa ni "mlevi wa uji"
ReplyDeleteSimon pole...ila usiache kuja kwa hilo utapata chai na chapati.
Ahsante da'Yasinta naonaunameremeta sijui umeweka Siagi, mimi huupenda sana, je wewe unaupikaje?@ kaka wa mimi Kitururu Uji wa mchele jee unapanda? da'Yasinta mpe Chingambo huyo sina hakika na jina hilo.
ReplyDeleteRachel wala sijaweka siagi na wala sijaweka sukari wala asali ni kama ulivyo...Jinsi ya kupika nimekologa na maji na kuchemsha mpaka kuchemka na nimechemsha zaidi dakika kama kumi hivi....Rachel una vituko wewe eti mpe chingambo...jina umepatia haswaa. Ngoja aje tuone kama huo uji wa mchele au hicho chingambo kinapanda...
ReplyDeleteumenikumbusha uji wa mbege dada yasinta yaani mama yngu alikuwa anaupenda ilikuwa spesho sana kwa mama ambaye ametoka kujifungua basi ukipikiwa wanatia maziwa mtindi na siagi na sukari yaani usiombe ni tamu je lakini nasikia kwa watu wenye matatizo ya moyo haiwafai kwa sabaubu inanguvu sana ni hayo tu umenitamanisha na mimi zisubutu kutumia na hii afya niliyonayo nitabaki kuangalia tu kwa macho
ReplyDeleteUji huo ni rangi ya udongo pia ni rangi yako, chakula cha kwanza kwake Adam na Hawa!
ReplyDeleteAkina msitudanganye kabisa!Tuonyesheni kitu kipya na kamili kwa kuvaa mavazi ya wanawake katika picha kamili kuanzia juu kwenda chini mkionyesha uwakilishi wa kitanzania.
ReplyDelete