Friday, October 7, 2011

MICHEZO: MPIRA WA MIGUU SWEDEN FINLAND 2-I!!

Jioni hii kulikuwa na mechi katio ya Sweden na Finland na Sweden imeshinda na mabao 2. na Finland 1. Mechi/mchezo ulichezwa nchini Finlanda. Hongera Sweden!!!!

12 comments:

  1. Nangojea siku,Sweden ina cheza na Tanzania,kombe la Dunia,sijuwi watu watapigwa talaka au Erik mwanao ataokowa jaazi kwa kuchezea upande wa tanzania(kwa mama).hongereni kwa ushindi. mimi nangojea siku England ina menyana naTanzania kombe la Dunia nitakaa pembeni na bakora!! huku nakunywa pombe zangu na supu ya makende ikiningoja.tukifungwa kwa hasira nachapa watu wote bakora na ningia jikoni nakomba mboga zote!!!? ndoto tu hizi.kaka S.

    ReplyDelete
  2. Hahahaaaaa!siku hiyo nakuambia itakuwa ....au tusema au tuombee mwanangu Erik aokoe jaazi kweli. Kaka Sam kaka Sam unachekesha kweli eti utakaa pembeni na bakora pia pombe na supu ya makende...hivi makende ni nini? unafikiri ukichapa mru ndo ushindi utarudi au...Lol....ndoto nzuri lakini!!

    ReplyDelete
  3. Yasinta na wewe Makende si nisupu yetu ile iliyokuwa ya wiki.kaka s

    ReplyDelete
  4. Oh! mimi naiita spenachi..aise kumbe haya ahsante!

    ReplyDelete
  5. Yasinta hujui MAKENDE ni nini kweli? Kwani unafikiri nyumba ya mbegu za kiume inaitwaje?

    ReplyDelete
  6. Ni kweli Simon nilikuwa sijui kabisa..

    ReplyDelete
  7. Makende ni (ashakum si matusi) ni KORODANI aka PUMBU bwana!
    Na supu ya kende sasa hivi labda ndio utaelewa ni kwanini tamu kuliko yako ile ya spinachi!:-(

    ReplyDelete
  8. Haya bwana sasa nipo nanyi kaka mdogo na kaka mkubwa naona mnaipenda kweli hiyo supu...itabidi niwapikie...Kuna kitu nataka ....

    ReplyDelete
  9. Kapulya acha matusi ,..UNATAKA nini?

    ReplyDelete
  10. Sio matusi ninaTAKA kukupa ujumbe wako...siwezi aaahh naacha ila ntafute ntakuambia:-(

    ReplyDelete
  11. SUH sie wenye mawazo machafu wee acha tu! Basi ntakutafuta uninong'oneze chobisi baadaye!

    ReplyDelete