Friday, October 7, 2011

IJUMAA NJEMA PIA MWISHO WA JUMA MWEMA!!!



Nikiwa natoka kazini kwenye baiskeli yangu ghfla nikajikuta naimba wimbo huu nikaona niuweke hapa ....TUPO PAMOJA!!!

7 comments:

  1. Ijumaa Njema na WIKIENDI NJEMA!

    Na bonge la wimbo hilo!

    ReplyDelete
  2. Leo niko nyumani, ijumaa kwa kawaida nisiku ya kukaa na mtoto,labda itokee kazi ya sanaaa,hapo lazima ngoma zilie sana.hivyo kwangu ni ijumaa njema kabisa. nakutakia na wewe pia ijumaa njema ,pamoja na bwana mdogo kitururu/simon mtakatifu,usisahau supu kwa kila kilaji utakacho pata wikiendi hii. kaka s.

    ReplyDelete
  3. Ahsante kaka mdogo Simon ni kweli ni bonge la wimbo sijui kwa nini leo wimbo huu umenifikia tu ghafla halafu nilikuwa naendesha baiskeli pia:-)

    Kaka Mkubwa Sam! ha ha ha haaaa raha kwli kuwa nyumbani na mtoto:-) basi kweli ijumaa yako ni njema. Supu haisauliki nsakula mchana :-) Au wewe unamaanisha supu ipi? na una maanisha mimi au mdogo wako Simon?

    ReplyDelete
  4. Yasinta,supu yeyote ile ilimradi ina lika na imeandaliwa vizuri,tena safari hii haitoi harufu!! tehe tehe tehe!! mimi mchokozi.nahii ni kwa wote wewe na mtakatifu supu ni muhimu.kaka S

    ReplyDelete
  5. nimekuelewa kaka Mkubwa ila sijui kama wewe ni kaka mkubwa...lol Wiki hii ilikuwa wiki ya supu nakwambia... Ngoja kesho nitakuchokoza na mimi...tumgoje kaka mdogo Simon atasema nini kuhusu supu...

    ReplyDelete
  6. Ijumaa njema na mwisho wa juma mwema na kwako pia

    ReplyDelete