asante nasi tutakuwa na majukumu hayo hayo unajuwa huku kwetu ndo siku ya minuso ,yaani maharusi ni kama kawaida jumamosi miesi hii ni kama kule mitaa ya lundo na litembo miezi au muda huu ndo wakati wake hata mbogo kaka yako anajuwa na rafiki yangu komba kaondoka juzi kaenda chipole kuna harusi leo hii pole kapulya hayatasimama majukumu kwani yakisimama ni kama ulivyosema ni baiskeli yataanguka tuu na yakianguka ndo haupo tena chini ya jua bye CHe jiah
Ujumbe maridhawa ndani ya wikiendi maridhawa na salamu za upendo mchanganfu kutoka pembezoni mwa bahari ya hindi. =================================== "Ninajua vema, Ee Yehova, kwamba njia ya mtu wa udongo haimo katika uwezo wake. Mwanadamu anayetembea hana uwezo wa kuongoza hatua yake._Yeremia 10:23". ==================================
Jumamosi njema kwako pia Kapulya!
ReplyDeleteasante nasi tutakuwa na majukumu hayo hayo unajuwa huku kwetu ndo siku ya minuso ,yaani maharusi ni kama kawaida jumamosi miesi hii ni kama kule mitaa ya lundo na litembo miezi au muda huu ndo wakati wake hata mbogo kaka yako anajuwa na rafiki yangu komba kaondoka juzi kaenda chipole kuna harusi leo hii
ReplyDeletepole kapulya hayatasimama majukumu kwani yakisimama ni kama ulivyosema ni baiskeli yataanguka tuu na yakianguka ndo haupo tena chini ya jua bye
CHe jiah
Asante sana dada Yasinta, nawe pia na familia yako kwa ujumla nawatakieni J1 njema!
ReplyDeletePia majukumu mema sana.
Ujumbe maridhawa ndani ya wikiendi maridhawa na salamu za upendo mchanganfu kutoka pembezoni mwa bahari ya hindi.
ReplyDelete===================================
"Ninajua vema, Ee Yehova, kwamba njia ya mtu wa udongo haimo katika uwezo wake. Mwanadamu anayetembea hana uwezo wa kuongoza hatua yake._Yeremia 10:23".
==================================
Sijui nimefikiria sana kwa kuwa ghafla SIELEWi tena UJUMBE huu wa leo!:-(
ReplyDelete