Sunday, September 25, 2011

TUMALIZE JUMAPILI YA MWISHO YA MWEZI HUU KWA WIMBO HUU!!!

Wiki hii nimekuwa nikitafuta tafuta nyimbo za asili asili...nikakutana na huu ...wanaimba kiswahili lakini mwishoni sielewi wanaimba nini ..Ila nahisi ni KIBENA AU KIHEHE maana nimeelewa maneno kama WINOME.....Mtani Fadhy upoooo nisaidia na wengine WOTE MLIOELEWA ...NATANGULIZA SHUKRANI...




NA NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA SANA WOTE....NDINGI NDINGINDI NDINGINDI WINOMEEEEE!!!!!!!

1 comment:

  1. Ahsante sana da'Yasinta kwa kibao hiki maridadi, Kuchanya atemile nani? Atemile yehova/Mtwa!!!!!!!Winomeee Wiyangasuleeeee. Wapi da'Edna? Nyevaa mlikwiiii?

    ReplyDelete