Friday, September 30, 2011

MAPENZI NI MKUKI AU MATESO? IJUMAA NJEMA JAMAN!!!I




NGOJA TUMSILIKIZE NA KAKA KIDUMU NA NA WIMBO HUU WA MAPENZI!!!

3 comments:

  1. Yap !!!, kwa ukweli nyimbo hizo mbili nimezipenda sanaa.muziki mzuli,na lugha waliyo tumia ,kiswahili kimenogesha sana muziki/nyimbo hizo. mapenzi hakika nimateso .vyovyote utakavyo taka yawe bado utahitaji nguvu iliku hakikisha yanadumu,iwe ndani ya ndoa,mahusiano ya kawaida tu yaani mtu na demu wake.hebe angalia baadhi tu ya maneno
    yanayo toa sifa ya penzi
    .-mapenzi nikikoozi kuficha huwezi

    -jela ya mapenzi.
    -mapenzi ni sumu.
    - mv mapenzi meli ya wapendanao.
    maneno yote hapo juu nikazi za wana muziki katika kutuonyesha nijinsi gani mapenzi yanatafsiliwa. haya Dada Yasinta na wewe Ijumaa njema,sisi huku week end jua kama bongo. kaka S

    ReplyDelete
  2. huyo wa kwanza nimependa anvyoimba pia mavazi yake hasa hizo bangili na huo mkufu nimevipenda sana...

    ReplyDelete