Friday, August 26, 2011

IJUMAA YA LEO:- NA METHALI HII!!!

Mtu huwezi kuchagua utakufaje. Isipokuwa unaweza kuamua ni vipi utaishi.


.......NAWATAKIENI WOTE MWISHO MWEMA WA KUANZA MWISHO WA JUMA.......

5 comments:

  1. ahsante sana da Yasinta, nawe pia.

    ReplyDelete
  2. ameeeeeen, pamoja daima. afrika kwanza, uhuru daima

    ReplyDelete
  3. vipi watani zangu wa iringa? maana wao hutafura kamba kabisa ikifika wakati wamechoka kuishi kwa sababu 'flan-flan'

    ReplyDelete
  4. Yasinta,yaezekana,kuchagua utakufaje,ila lini na saangapi/saagani utakufa hapo ndo pagumu. Huku kwa wenzetu wanajuwa watakufaje,mfano,wale ambao wana magonjwa sugu,huenda Uholanzi,ambako huamua wanataka kufa kifo cha ainagani kutokana na maradhi anayo umwa .hapa uk,sheria hairuhusu,mtu alie katatamaa ya kuishi kutokana na kuugua kwa muda mrefu apewe dawa ya kummalizia uhai wake ili afe apumzike ,na mateso ya ugonjwa. Kaka S.

    ReplyDelete
  5. Sina uhakika na methali hii!

    Mengine Kaka S, Mkuu John Mwaipopo wameonge kijinsi yani tekenyavyo .

    Kwa kuongezea :

    ..... kipengele:``Isipokuwa unaweza kuamua ni vipi utaishi.´´


    -naamini kama ni BINADAMU WEWE labda hata hilo si kitu kiwezekanacho 100%,...
    .....na ingekuwa inawezekana kirahisi hivyo naamini WATU wengi uwajuao wasingeishi WAISHIVYO sasa hivi kwa kuwa BINADAMU wengi hudhania -The GRASS is GREENER kwa JIRANI kitu ambacho labda wako watu BONGO wangeishi kama MALKIA wa UINGEREZA au tu angalau kama Rais KIKWETE ingawa waishipo ni MATOMBO , MOROGORO!:_(

    ReplyDelete