Ni ushuuda mzuri wa maisha yake. kila mtu na alivyo andikiwa na mungu maisha yake yatakuwavipi,pamoja na jitihada zatu binafsi sisi wanadamu.njia unayo pitia mpaka kufika hapo ulipo,wewe ndo unajuwa. haya jumamosi njema,usihofu utakuwa salama tu. kaka s
Jumamosi Njema kwako pia!
ReplyDeleteNamshukuru Mungu kuwa nimeamka salama na natumaini nitaimaliza siku salama pi. Ahsante Kaka Simon:-)
ReplyDeleteNi ushuuda mzuri wa maisha yake. kila mtu na alivyo andikiwa na mungu maisha yake yatakuwavipi,pamoja na jitihada zatu binafsi sisi wanadamu.njia unayo pitia mpaka kufika hapo ulipo,wewe ndo unajuwa.
ReplyDeletehaya jumamosi njema,usihofu utakuwa salama tu.
kaka s
Kawimbo katamu kweli.ahsante dada........
ReplyDelete