Tuesday, July 26, 2011

NIPO SONGEA NA NIPO SALAMA

Habari za siku nyingi ndugu zanguni na samahani sana kwa kupotea kwa muda mrefu. Ila msiwe na wasiwasi nipo salma pia familia. Hapa Songea ni baridi sana hasa asubuhi na jioni. Leongo kubwa ni kutaka kuwataarifu tu kuwa nipo salama. Na kuwa tupo pamoja daima. TUTAONANA KARIBUNI. KAPULYA

14 comments:

  1. Ukimya wako nilijua tu ni usongo wa kufakamia likolo lya nanyungu na samaki wa ziwa nyasa. ni matumaini yangu unaendelea kula likizo vema na kusalimia ndugu na jamaa.

    ni faraja pia hujatusahau 'wasela' wa hapa kijiweni ingawaje sina uhakika kipimo changu cha kukumiss ndicho sawa sawa na kwa 'wasela' wengine hapa kijiweni.

    yule jogoo mkubwa mkubwa karibu na bomba la maji bado yupo?

    ReplyDelete
  2. Nami nategemea kuingia Songea keshokutwa, tarehe 28. Simu yangu ni 0754 888 647 na pia 0717 413 073

    ReplyDelete
  3. ninafurahi kusikia kutoka kwako kuwa upo salama mjini Songea. pole kwa mambo yote yaliyokuzonga...lakini Mungu ni mwema siku zote.
    u are missed so badly.....

    ReplyDelete
  4. Hei Maisha ni jinsi gani maisha huko Tanzania, unaweza kuona mwanamke mzuri! Sina mengi ya ziara, lakini mimi nina kufanya blog kwa dada yangu Mei Claerhout, itabidi URL ya blog kuwa! Salamu zaidi kama Guido natuurmanjak .
    http://natuurmanjak.skynetblogs.be
    http://mayskunstwerken.skynetblogs.be/

    ReplyDelete
  5. Tupo pamoja dada Yasinta. Likizo njema!

    ReplyDelete
  6. nimefurahi kukusikia rafiki - ukipata muda tafadhali nipigie simu yangu.

    ReplyDelete
  7. safari njema dada yetu. Mungu na akulinde wewe na familia urudi salama salimini!!

    ReplyDelete
  8. Missing u so much dada "YASINTA"..wish u to enjoy ure holiday but please come back soon we need ure challenges and contributions...Otherwise enjoy it as it last and regards to all over there...

    ReplyDelete
  9. Twakusubiri kwa hamu...safiri salama.

    ReplyDelete
  10. Napenda kuwashukuruni wote kwa moyo wenu wa mapendo kwangu na kwa ujumla kwa familia yangu nzima. Mnapendwa sana.

    ReplyDelete