Monday, August 8, 2011

"KAPULYA" BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO:- INAPENDA KUMSHUKURU MUNGU KUWA TUMESAFIRI SALAMA...MENGINE YANAKUJA BAADAYE:-) NIMIRUDIIII





Nimefika jana jioni .Hapa ni Jumamosi ya tarehe 6/8 nikiwa Silver Sand Dar Es Salaam.......Kapulya huyooooooo!!

15 comments:

  1. hongera ndugu yasinta kwa likizo na kusafiri salama mpaka makao yako. hakika mungu ashukuriwe. kimsingi tuliku.... sana. karibu tena mwanakwetu

    ReplyDelete
  2. Kila kitu ni kweke MUNGU sisi binadamu hatuna ujanja ashukuriwe sana.Poleni na uchovu Mr na watoto,na dhani Erick hajambo.Tunasubiri kukuona tena kwenye mtandao.

    ReplyDelete
  3. Karibu tena! Tulikumiss, japo wengine tupo sehemu inayoitwa bize tu ze maksimam!

    ReplyDelete
  4. Karibu sana dada yetu. Habari za nyumbani??

    ReplyDelete
  5. Kaka John.... hata mie niliwa...na nimekaribia AHSANTE SANA.

    Christian Sikapunda... Ahsante naona uchovu utatoka polepole... Erik mzima. Kwenye mtandao nitakuja ila kwa upole kidogo...

    Kaka Chib! ahsante.. Hata mie nimewamiss mno. Pole na ubize lakini kumbuka ndio sehemu ya maisha yetu ya kila siku.

    Kaka Mrope!Ahsante sana...Nyumbani wote wazima twamshukuru Mungu.

    ReplyDelete
  6. Kama sikuchelewa...


    Karibu tena, Dada! Sisi tupo!

    Lakini, je, unajuwa wangapi watu waliekata roho huko sehemu za Kunduchi, Dar es-Salaam, tena kwenye maji? Kweli wewe hunabudi kabisa la kumshukuru Mungu!


    Kiasi cha kushangilia, nimefurahi hujaenda namaji hayo ya Silver Sands, bali maji yenyewe umeyapa kidole chako tu,nacho kikavu kama uzima wote wa kiwiliwili chako juu ya jiwe! La!!

    Kapulya huyo!!!

    ReplyDelete
  7. Tupo pamoja, karibu tena kijiweni, najua una mengi ya kutusimulia, hasa maisha ya bongo na mabadiliko yake. Vipi MAISHA kwa ujumla na yapi MAFANIKIO! tupo pamoja dada yetu!Je ulibahatika kukutana na mpiganaji yoyote?

    ReplyDelete
  8. Haa! Afaadhali urudi ndugu yangu tulijisikia upweke mno..

    Hata hivyo bongo imekupenda umependeza sana mwanakwetu.

    ReplyDelete
  9. Kaka Phiri! Kwanza nasema ahsante sana kwa hiyo karibu. Halafu wala hujachelewa...ha ha haaaaa umenichekesha kweli kuhusu kwenda na maji...

    M3! ahsante. Nimekaribia na nitajitahidi kuwa nanyi. Labda nina mengi kusimulia na labda sina:-)

    Mija ndugu yangu! ahsante sana ...wewe huachi visa vyako eti nimependeza, haya dadangu usengwili:-)

    ReplyDelete
  10. KUENDAKO HISANI HAKURUDI NUKSANI BALI SHUKRANI.KWA SHANGWE,NDEREMO,VIGELEGELE,VIFIJO NA CHEREKOCHEREKO TUNASEMA:"KARIBU SANA KIBRAZANI".

    ReplyDelete
  11. Karibu sana.."tulikumiso" kwa kweli!

    ReplyDelete
  12. KARIBU SANA NYUMBANI/KIBARAZANI TULIKUMMISS SANA KAPULYA,NISALIMIE SANA FAMILIA YOTE.

    MUCH LOVE
    XX

    ReplyDelete