Thursday, May 26, 2011

HAWA WAMEANZA WEEKEND LEO! KAAZI KWELIKWELI HAPA!!!

Sijui mpaka mwisho wa juma itakuwaje?Nawatakieni wote mwisho wa juma mwema na nawaombeni muwe waangalifu na ugimbi...na usisahau kuwa usiendeshe kama umeonja ugimbi....KILA LA KHERI KWA WOTE!!!!!!

8 comments:

  1. pombe si chai hakika.

    hasara za pombe (kupindukia)
    1. unapoumia hivi mwenye baa anaenda kuweka hela benki.
    2. hapo utahitaji supu ya bei(more spending)
    3. hangover inakufanya ama usiende kazini ama usifanye kazi vema kazini
    4. little by littele uwezo wa kumbukumbu unaanza kupungua
    5. athari za afya ndio usiseme, kuanzia na ini

    ReplyDelete
  2. nilipokuwa bado nakunywa pombe, nililewa na kulala hivi! nikajiuliza inakuwaje, then nikaipiga teke.

    ReplyDelete
  3. Teh, kweli pombe sio chai kama asemavyo mkuu Mwaipopo!

    ReplyDelete
  4. Atakaye kwenda kwenye pombe aje na mimi kwa kuwa huko wanafiki wachache!:-(

    ReplyDelete
  5. obat cytotec i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing obat telat bulan

    ReplyDelete